Ipo siku WABUNGE

che wa Tz

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
277
71
Huko tuendako kuna siku WABUNGE wataapa kwa
kushika burungutu la PESA badala ya BIBLE ama QURAN"...............let wait and see
 
wabunge wa ccm karibu woote watakufa,baada ya muda si mrefu,kwani wamekubali kutoa dhabihu au kafara maisha ya wananchi wa Tanganyika.Mungu uwaone hao,maana kisasi chako kinakuja taratibu
 
wabunge wa ccm karibu woote watakufa,baada ya muda si mrefu,kwani wamekubali kutoa dhabihu au kafara maisha ya wananchi wa Tanganyika.Mungu uwaone hao,maana kisasi chako kinakuja taratibu

wajumuishe Joseph Selasini na Shibuda, miksa Khalifa A. Khalifa...
 
mkulo leo kajitia hakusikia swali la kuhusu fedha za rada kwenda kwenye ununuzi wa madawati, hii nadhani swali lilimchefua coz yeye anafikiri watazitafuna vp, Halafu mbunge analeta kiherehere cha madawati
 
Back
Top Bottom