Ninatumia simu kwahiyo sijaweza kusikia anachosema ustadh ilunga lakini kwa aina ya mahubiri na mawaidha yanayofanywa na hawa wenzetu mtu hupati shida kung'amua kwamba lengo lao ni kutaka nchi yetu iingie katika vita ya kidini.
Na bahati nzuri kwao serikali ya alhaji kikwete imeamua kuwafumbia macho hawa jamaa wanavyozidi kuchochea chuki za kidini.
jaman irunga ni ustaz wangu na asemi maneno yake anatoa ktk kitabu kwamba akiuliwa sheqe na ww tafuta paroko muue ili mue sawa.dawa ya moto ni moto.itafaamika tu
Kikwete tutamkumbuka sana kwa UDINI.
Wakristo tuamke. Matusi na ugaidi mpaka lini?
Kweli, kwa sababu ahkaam zilizopo kwenye Quran utakuta nyingi ni kwa ajili ya mamlaka kuzitekeleza na si kwa individuals.jamani tusîingize nchi kwenye machafuko tumuhukumu Ilunga kama individual
takbil itapendeza wakristo walianzishe.mbona mnalala mika kuusu makanisa na padri bas ongeleen kisa cha kuchomwa makanisa amke wakristo
Ukichunguza jina Ilunga Kapungu utakuta mhusika si Mkenya wala Mtanzania. Hawa ni washenzi na makafiri wanaopenyezwa na magaidi kuja kutuvuruga. Huyu akipotezwa si kitu cha kusikitisha bali kushangiliwa. This piece of shit must be gotten rid as soon as possible.
Ninatumia simu kwahiyo sijaweza kusikia anachosema ustadh ilunga lakini kwa aina ya mahubiri na mawaidha yanayofanywa na hawa wenzetu mtu hupati shida kung'amua kwamba lengo lao ni kutaka nchi yetu iingie katika vita ya kidini.
Na bahati nzuri kwao serikali ya alhaji kikwete imeamua kuwafumbia macho hawa jamaa wanavyozidi kuchochea chuki za kidini.
Sideeq,Kweli, kwa sababu ahkaam zilizopo kwenye Quran utakuta nyingi ni kwa ajili ya mamlaka kuzitekeleza na si kwa individuals.
Mfano; kishariah anayeua naye huuliwa; lakini hii sio juu ya kila Athumani, Issa au Bakari kutekeleza!
siwezi nikamuona muuaji anaua halafu nikamkamata na kumwambia kuwa wewe ni muuaji sasa ninakukamata na kukukata kichwa chako kutokana na aya hii au ile..hili ni kosa! kwa sababu ni mamlaka ya Kiislamu ndiyo inayotakiwa kufanya hivyo si juu ya kila Muislamu kujichukulia Shariah mikononi.
Vilevile Abu Dawud amekusanya Hadith ambayo Mtume SAW amekataza kuuliwa wanawake watoto huku makatazo ya mauaji ya Viongozi wa dini za Kikristo na Kiyahudi yakiwa ni maarufu!
Hata ibn Hiban anakusanya Hadith ya makatazo ya kuwaua walio katika nyumba za ibada.
Ahlul ilm wanatufahamisha kuwa makatazo haya ni wakati wa vita, sasa je katika wakati wa amani?!
Alichofanya Ustadh Ilunga ni ijtihad yake ya kuangalia mazingira, wahusika, hali yenyewe na kuangalia Quran halafu akatoa Fatwa.
Na Mufti (mtoaji Fatwa) si lazima awe sahihi, anaweza kuwa sahihi na anaweza kuwa amekosea katika Fatwa yake ile.
Hivyo Muislamu halazimishwi kufuata Fatwa anachotizama ni ukaribu wa Fatwa; je iko karibu na usahihi au iko karibu na kosa? ..halafu anachagua mwenyewe
Kweli, kwa sababu ahkaam zilizopo kwenye Quran utakuta nyingi ni kwa ajili ya mamlaka kuzitekeleza na si kwa individuals.