...ipo haja ya kuwa na jukwaa maalum la SALAMU

Teh ndo hivyo.....
Leo naona kama vijana wamelala mapema eeeeh simuoni rafiki yangu Mtei,Katavi,Smiling Saint na majungu makers wengine kama Kabakabana...
Bora mtei kuna mda alikuwepo, hao wengine sijawaona kabisa leo, labda leo wanaingia night shift kuanzia sa 6 usiku lol...
 
Canty huyo mchangiaji hakujua kua na mm ni mwehu tu ninaetaka kuweka smile kwenye nyuso za watuu...basi kavimba huyo hadi kabadilika rangi kawa wakibuluu!...msameheni bana!

Hahahaha!yan kwa hilo umefanikiwa maana mie mwenyewe umenichekesha mpaka basi lol!
 
Bagah tulifunguliwa chitchat ili tusichakachue majukwaa mengine na haiko muda murefu,chitchat=chatter=talking about nothing in particular=kelele.
Chitchat ni sehemu ya kusalimiana,kutaniana etc kwahiyo punguza jazba.
 
huyo ulie na imani nae yuko wap hapo??shem nilikuambia unakumbuka siku ile pale samakisamaki,ukiwa na mume handsome ujue mambo ndo kama hayo!
kuwa na imani na mm plz!
Hehehe! Sidanganyiki ng'o!

Ngastuka unataka kunivunjia ndoa wewe...
 
Chit chat OYEEEEEE!
Jamaa amepotea direction....hajui hata huyo Bagah anawaenjoy tu halafu yeye ameingia mzimamzima....
hahahaaaaa natamani aje sasa maana sijamkuta myao wa tunduru.....hebu mtafute aje hapa aseme tumsikie tusharudi sasa wazee wa ChitChat....
Chit chat OYEEEEEE!

Haya wajanja wa arusha!ndo ujanja wenu huu
 
Bagah tulifunguliwa chitchat ili tusichakachue majukwaa mengine na haiko muda murefu,chitchat=chatter=talking about nothing in particular=kelele.
Chitchat ni sehemu ya kusalimiana,kutaniana etc kwahiyo punguza jazba.

habari yako SWAHIBA!
 
mmeanza wizi tena jama!..nilipokua Jf Senior Expert Member nilichangia??..LOL
BTW tunachangia nn na kwa nan?
Dogo acha ubahili hebu fanya mpango hata wa 50,000/- ni rahisi sana kama utaamua kuwa unatuma hata mara moja kwa mwezi
Lol kama JF inatuweka pamoja kwanini tusiiwezeshe km tuna uwezo?
Do it please
 
Sweetlady,Bagah,Salok,Mtei etc mmeona mwenzenu Erick kachangia JF na kuwa premium ?
Kuwa premium ndio nini?... Bado sijapata msukumo, nikiupata ntachangia, ila sitachangia kwa vile wewe umesema... Ntafanya hivyo kwa maamuzi yangu sio yako...
 
Back
Top Bottom