...ipo haja ya kuwa na jukwaa maalum la SALAMU

Hebu ushangae na wewe my lovely wii, afu mleta sredi mwenyewe mchakachuzi hadi raha, wenzie tuko jf kujifurahisha manake hatuendi bar lol... Uwe serious jukwaa la siasa na chit chat pia jamani? No bana!

Wifi mzima wewe? How is my braza Rejao?

shem mm nimewahi kukuchakachua kweli?...CANTA sawa naweza kukubali mana hatuna undugu!..
 
mambo vp my wii!siriac ishu na chit chat wapi na wapi lol!

Canty huyo mchangiaji hakujua kua na mm ni mwehu tu ninaetaka kuweka smile kwenye nyuso za watuu...basi kavimba huyo hadi kabadilika rangi kawa wakibuluu!...msameheni bana!
 
Canty huyo mchangiaji hakujua kua na mm ni mwehu tu ninaetaka kuweka smile kwenye nyuso za watuu...basi kavimba huyo hadi kabadilika rangi kawa wakibuluu!...msameheni bana!
Dogo hujambo?
 
Hujanionea sweetie husband wangu? Namtafuta , popote utakaponionea niitie shem langu!

nilishakwambia braza namjua mm mwenyewe...si ndugu yangu bana...umeolewa tu kufurahisha jamii...LOL kama vip nije nikupe kampani?
 
Afu wewe nna hasira zako, mtume Erick aje akuchukulie,

ndio nini kuniaibisha hivyo kwenye debate?

hahahahhaaa...shem umeelewaje akati nilikutukana kwa kiingereza jama!?nani anakutafsiria...
hujui wanaogombana ndio wanaopatana na ww!..u and i...malizia!
 
Chit chat OYEEEEEE!
Jamaa amepotea direction....hajui hata huyo Bagah anawaenjoy tu halafu yeye ameingia mzimamzima....
hahahaaaaa natamani aje sasa maana sijamkuta myao wa tunduru.....hebu mtafute aje hapa aseme tumsikie tusharudi sasa wazee wa ChitChat....
Chit chat OYEEEEEE!
Bagah mbaya sana, amemwingiza mwenzie chaka mzima mzima lol...

Inamana ameshindwa kuchanganya na zake afu akagundua kuwa sredi imewekwa chit chat?
 
Mzima kabisa wifi nae pia anakusalim, mwambie kaka salam zimefika nimezipokea kwa mikono miwili...

Wifi h'moon inaisha lini manake tumewamiss sana jamani..

Mwambie nashukuru sn,ilikua turudi mwisho wa mwezi lkn kaka yako kaongeza miezi 2 so tunatarajia mwezi wa sita ndio hane mun itaisha!na ce twawamis sn jaman!vp huko mnatunyima nn wifi!
 
Mwambie nashukuru sn,ilikua turudi mwisho wa mwezi lkn kaka yako kaongeza miezi 2 so tunatarajia mwezi wa sita ndio hane mun itaisha!na ce twawamis sn jaman!vp huko mnatunyima nn wifi!
Ooh! Jamani wifi, nimenuna kwa mda! Mwezi wa 6??...
 
Bagah mbaya sana, amemwingiza mwenzie chaka mzima mzima lol...

Inamana ameshindwa kuchanganya na zake afu akagundua kuwa sredi imewekwa chit chat?
Teh ndo hivyo.....
Leo naona kama vijana wamelala mapema eeeeh simuoni rafiki yangu Mtei,Katavi,Smiling Saint na majungu makers wengine kama Kabakabana...
 
Kampani??? Sina imani na wewe bana.. Usije!

huyo ulie na imani nae yuko wap hapo??shem nilikuambia unakumbuka siku ile pale samakisamaki,ukiwa na mume handsome ujue mambo ndo kama hayo!
kuwa na imani na mm plz!
 
Back
Top Bottom