...ipo haja ya kuwa na jukwaa maalum la SALAMU

Huwa wanaboa kikweli!!!kiushamba flani wanaletaga katika threds za watu mpaka huwa najiuliza watu humu JF wamekuja kujuana au vipi?
 
Hahaha!

Uko serious mpaka raha.,...huku tunajuana kikweli kweli na sio tumekuja kujuana... Ukitaka tusikuboe usije chit chat, ishia jukwaa la siasa!

Pole.
 
mambo vp my wii!siriac ishu na chit chat wapi na wapi lol!
 
Hebu ushangae na wewe my lovely wii, afu mleta sredi mwenyewe mchakachuzi hadi raha, wenzie tuko jf kujifurahisha manake hatuendi bar lol... Uwe serious jukwaa la siasa na chit chat pia jamani? No bana!

Wifi mzima wewe? How is my braza Rejao?
 
Huwa wanaboa kikweli!!!kiushamba flani wanaletaga katika threds za watu mpaka huwa najiuliza watu humu JF wamekuja kujuana au vipi?
Hahaha!

Uko serious mpaka raha.,...huku tunajuana kikweli kweli na sio tumekuja kujuana... Ukitaka tusikuboe usije chit chat, ishia jukwaa la siasa!

Pole.
Hahahahaaaaaa
Sema mamamaaaaaaaaaa
Kwani wamelazimishwa humu?????????
Kwanza wanaleta kiwingu tuuuuuuu
Nawashangaa wanatafuta nini Chit Chat wakati wana Wajukuu 150?
Hahahahaaaaa
Ponda raha na JF ChitChat!!!!!
Km vipi unapotea kimyakimya tu myao wa tunduru humu hakukufaiii na kumbuka majukwaa ni mengi sanaaaa ndo maana ambao hatuko serious tumekuja huku lol
Ushaboa jamiiiii
 
Hebu ushangae na wewe my lovely wii, afu mleta sredi mwenyewe mchakachuzi hadi raha, wenzie tuko jf kujifurahisha manake hatuendi bar lol... Uwe serious jukwaa la siasa na chit chat pia jamani? No bana!

Wifi mzima wewe? How is my braza Rejao?

Niko poa swty lov,huyo mtoa mada ndio kbs kasalit uzi wake lol!kaka yako hajambo kbs anakupa hi za kutosha!shem wangu Nitty mzima!
 
Hahahahaaaaaa
Sema mamamaaaaaaaaaa
Kwani wamelazimishwa humu?????????
Kwanza wanaleta kiwingu tuuuuuuu
Nawashangaa wanatafuta nini Chit Chat wakati wana Wajukuu 150?
Hahahahaaaaa
Ponda raha na JF ChitChat!!!!!
Km vipi unapotea kimyakimya tu myao wa tunduru humu hakukufaiii na kumbuka majukwaa ni mengi sanaaaa ndo maana ambao hatuko serious tumekuja huku lol
Ushaboa jamiiiii
Hahahahahahaaaa! Erick umeua,!...eti wana wajukuu 150 lol... Watu wana mahasira ya maisha wanataka kutuambukiza na sisi, hawajui hatutaki msongamano ndio mana tumeweka kituo chit chat....

Chit chat OYEEEEEE!
 
Niko poa swty lov,huyo mtoa mada ndio kbs kasalit uzi wake lol!kaka yako hajambo kbs anakupa hi za kutosha!shem wangu Nitty mzima!
Mzima kabisa wifi nae pia anakusalim, mwambie kaka salam zimefika nimezipokea kwa mikono miwili...

Wifi h'moon inaisha lini manake tumewamiss sana jamani..
 
Hahahahahahaaaa! Erick umeua,!...eti wana wajukuu 150 lol... Watu wana mahasira ya maisha wanataka kutuambukiza na sisi, hawajui hatutaki msongamano ndio mana tumeweka kituo chit chat....

Chit chat OYEEEEEE!
Chit chat OYEEEEEE!
Jamaa amepotea direction....hajui hata huyo Bagah anawaenjoy tu halafu yeye ameingia mzimamzima....
hahahaaaaa natamani aje sasa maana sijamkuta myao wa tunduru.....hebu mtafute aje hapa aseme tumsikie tusharudi sasa wazee wa ChitChat....
Chit chat OYEEEEEE!
 
Back
Top Bottom