...ipo haja ya kuwa na jukwaa maalum la SALAMU

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
...reply ya kwanza na ya pili tu,ndo inabeba maana ya post...zilizobaki salamu tupu na porojo...
oooh Ericky nakusalim Amyner
oooh Husny namtafuta husby wangu Jg...
oooh DA anamwambia SL sijui nn!
oooh Kongosho kaja na umbea huko hata haufanani na uzi...
oooh Mtei One naye anatongoza mke wa mtu (Myner)
...watu wanachekaa weeee kwenye nyuzi za watu...
je ipo haja kuwa na jukwaa maalumu la SALAMU tuuu msalimiane hadi na kupeana umbea wenu wote!..?na hao niliotaja hapo juu ni baadhi tu ya watu maarufu wa kuchakachua nyuzi za watu!LMAOOOOOOOO!
 
hahahahaha!.... Hata likiwepo hilo jukwaa kusalimiana kwenye uzi kuna raha yake lol...

Twende kule kwenye uzi wa Sauti tukaendelee tulipoishia.
 
hahahahaha!.... Hata likiwepo hilo jukwaa kusalimiana kwenye uzi kuna raha yake lol...

Twende kule kwenye uzi wa Sauti tukaendelee tulipoishia.

tehe!...tena ww ndio bingwa asee!natafta uzi wako...ukiweka tu,cha kwanza nasalimia wooote!
haya tangulia shem naja nimalizie hii ndovu yangu hapa...
 
tehe!...tena ww ndio bingwa asee!natafta uzi wako...ukiweka tu,cha kwanza nasalimia wooote!
haya tangulia shem naja nimalizie hii ndovu yangu hapa...
Lol, makofi lazima yakuhusu...

Usiongeze ingine manake nakuona umeanza kulewa hapo!
 
Lol, makofi lazima yakuhusu...

Usiongeze ingine manake nakuona umeanza kulewa hapo!

usijali...kwan kaka leo yupo?
afu shem mbona kwenye DEBATE sikuoni?na zile point nilizokuandikia hata hujakariri?...bo!
 
usijali...kwan kaka leo yupo?
afu shem mbona kwenye DEBATE sikuoni?na zile point nilizokuandikia hata hujakariri?...bo!
Niko bado nazikariri, bana mambo gani hayo ya kufikirishana jf? Sipatani na kiinglish mie, labda ingewekwa kwa kifaransa ningechangia lol.
 
Napenda kutuma salamu kwa mume wangu judgement.
Ujumbe:nampenda sana.
 
Nawatumia salamu wanaJF wote walio single... Ujumbe maisha ya usela samtaimu yananipa raha.
 
na wewe ulikuwa kamati wa majungu eeh! Tunapendana hadi tunajishangaa. Lol

...kwan wamenipa kamati shem!..hakuna kitu...can you just imagine resource kama mm situmiki kwenye harusi yako...!ila angalia usije ukasubiri bwana harusi siku hiyo asitokee!
 
Natuma salamu kwa wanajf wote wajane wa kiume wenye umri wa miaka 45+
Ujumbe: natafuta mchumba
 
Napenda kutuma salamu kwa mume wangu judgement.
Ujumbe:nampenda sana.

Sijui nianze na Bagah , au Husny! Hapana ,
jibu nimelipata naanza Husny ndiyo namjua utamu wake !
En'hee Mammiy, ujumbe nimeupokea , pamoja na kwamba leo dukani kwangu mauzo hayakua mazuri, but kwa salamu hizi ni fully-mauzo .
Na hivi nafunga duka.
Then Bagah kwa kuuleta uzi huu, naijua coner ulipo wambie tu wahudumu wakuletee vinywaji , na huyo Mangi hapo kwenye banda la nyama , atengeneze mguu auchome vizuri aukaushe Mie naja.
Husny nipigie badae niko road kwa sasa.
 
Back
Top Bottom