Ipi tamu kwa wote? (he&she)

TUTAKE RADHI kabla hatujakutenga kwenye jumuiya! Tangu nimeanza kuutundika mtungi sijawahi kuona performance imeshuka. Ni Viwango juu ya Viwango!

mkuu naongelea TASKA mpwa!!.
kuna vitu vingine navikubali aseee kama KESTO, SAFARI ni balaa, ukiimix na valuu then mix na konyagi, hapo ni libeneke mpaka majogoo.
narudia tena ni kwa TASKA!!
 
mkuu naongelea TASKA mpwa!!.
kuna vitu vingine navikubali aseee kama KESTO, SAFARI ni balaa, ukiimix na valuu then mix na konyagi, hapo ni libeneke mpaka majogoo.
narudia tena ni kwa TASKA!!

Ahaaaa! Hapo bwashee ana hoja ya kujibu. Nilifikiria unazungumzia biere kwa ujumla. Apology Accepted. Leo tia timu Zero pub, Una Kesto zako tano baridi, utapewa na glasi kubwa na wahudumu wawili uchague atakayekuhudumia.
 
What I have notice ni,
huyo she si mtu unaye mfill kivile,
either mgombea mwenza ila si msataafu.....
If u real fill somebody and love the most, it could nob be easy or suits you kumuanika that much, so huyu ni wa kupita.
Angekua wa ukweli, these days mambo hadharani, na mnaweza ambiana hata kiutani utani tu.
So obvious, tayari ulikuwa na majibu upon ur demands bros....

Haijakaa njema lakini,
Tusipende tenda yale ambayo once tendewaringi hutukwaza.
 
AMOEBA.

Kaa na mwandani wako mdiscuss hili swala sisi ukituuliza na kama unataka ugomvi ss tutajuaje ipi mkeo anapenda? ina maana sisi tunamjua mkeo(samahani lakini)

Thanks

What I have notice ni,
huyo she si mtu unaye mfill kivile,
either mgombea mwenza ila si msataafu.....
If u real fill somebody and love the most, it could nob be easy or suits you kumuanika that much, so huyu ni wa kupita.
Angekua wa ukweli, these days mambo hadharani, na mnaweza ambiana hata kiutani utani tu.
So obvious, tayari ulikuwa na majibu upon ur demands bros....

Haijakaa njema lakini,
Tusipende tenda yale ambayo once tendewaringi hutukwaza.

Good explntn.
 
Nguli bana!! Mtu kaomba usauri wewe una-complicate, mambo ya kujajiana hayapo hapa.

Kama umeona comment zangu mbaya elezea wewe jinsi manavyofanyaga na mumeo/mkeo elezea kila 1 kwa ustadi mzuri sitokujaji kama unavyodai nitakupongeza.
 
Kama umeona comment zangu mbaya elezea wewe jinsi manavyofanyaga na mumeo/mkeo elezea kila 1 kwa ustadi mzuri sitokujaji kama unavyodai nitakupongeza.

au kama vipi atupe ramani tukale chabo kisha tuje kumwaga nyepesi nyepesi
 
Kuna thread ya mama mia inaasa watu kutokuzungumzia yale ya ndani mwao.... Sasa hapa mnataka nini? Wengine humu wanajuana vizuri tu! Au wenzi wao wanajua id zao..sasa hii si noma?

tell zem...tell, zem VC.
Wanavunja sheria za mambo yetu hawa...Ndo shida ya Senior Bachelors hii.
 
tell zem...tell, zem VC.
Wanavunja sheria za mambo yetu hawa...Ndo shida ya Senior Bachelors hii.

PJ,
Waache wajisifie humu..watakapochukuliwa watu wao ndio watajua kwanini bedroom matters zinabaki huko huko! Tutawaona wakija kulialia hapa.Jibu litakuwa WE TOLD U SO!
 
kuna mmoja alipoona naagiza valuu kabla ya kuingia mjengoni ALIKATAA NISIINYWE HADI TUMALIZE KU-DUU!alikuwa anajua mziki wake...BONGO RECORDS HIYO MAZEE1acheni valuu iitwe valuu

jamani msije mkawa nyie ni watengenezaji wa hiyo valuu maana mnai-market kiaina hapa!!!!
 
au kama vipi atupe ramani tukale chabo kisha tuje kumwaga nyepesi nyepesi

Ha ha ha ha, nashangaa hataki kutujibu muda wote huo, two options granted mine na ya mpwa Burn chagua 1 then we can argue from there. U can even go furher and reciprocate to us ur reactions on upswing and downswing frame of mind
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom