Ipi siri ya Dr. Kamugisha Kazaura kuendelea kuwepo TTCL enzi hizi za Dr. Magufuli

Mtwangie Magu umwambie kuhusu huyo Dr Kamu.
7742e107f50a6be400fed89440248ef4.jpg
 
Imekuwa ni desturi ya Magufuli kutengua nafasi za wakurugenzi na vigogo ambao walishindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi .

Mengi yameongewa kuhusu kitenguliwa kwa nafasi hizo hasa baada ya kutowekwa wazi kwa sababu stahiki za kutenguliwa kwao.

Ipi ni siri ya Dr Kazaura kuendelea kuwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL ilhali ni moja ya mashirika ya umma yaliyokuwa na ubadhirifu Mkubwa na mikataba mibovu . mfano ni mkataba baina ya TTCL na Airtel ambao ulididimiza kabisa ufanisi wa TTCL..
Huu si aliukuta mkuu
na kausimamia hadi umevunjika
 
Sifa ambazo zinakufanya usitumbuliwe na Daktari wa Hospital yetu ya kaya.

1.Uwe msukuma,mhaya ua mzinza

na sifa hizo hizo zinakufanya uteuliwe kuingia katika chumba cha operesheni + jinsia ya me + dini yako.(sijui dini gani)
 
Yani hawa TTCL ni majipu tena majipu uchungu. Nilikuwa nawaza hivi boss wao ni nai na anafanya kazi gani?. Ninafanya kazi in a very remote area ambapo hapakuwa na network coverage ya mtandao wow0te ule hadi mwezi uliopita mabapo TTCL wali activate mnara wao uliokuwepo for almost three four yeras. Sasa maajabu ya TTCL wame activate mnara halafu hawana line wala vocha, so kukawa na network ya TTCL lakini jamaa hawakulete line wala vocha. Sababu kibiashara tulikua tunategemea siku wana activate mnara wao wangeuza kuanzia simu za promosheni, line na vocha. ila jamaa hawakuja na line hata mojaaa. Kumbuka kijiji kiko very remote so access ya vocha na line ni hadi uende mjini ambapo ni zaidi ya km 200!!! wakarudiu baada ya kama wiki mbili na visimu vichacheeee, na line chacheee akati demand ilikua kubwa sana.. nikashindwa kuelewa hawa jamaa wana mtu wa marketing kweli????? yani ni lijipu uchungu hawa. wangekuwa ni wenzao tigo au voda wangeleta na matarumbeta siku ya ufunguzi wa mnara na simu za promo na line zingekuwa kede kede..

Ndio wakati wako sasa kama unaishi huko kuwasiliana na TTCL uombe uwakala na wewe usapply hivyo vitu kuliko kulalamika...
 
Sijalalamika bali nilikua nashangaa uzembe wa TTCl kama shirika linalopaswa kujiendesha kibiashara. On top, walasihitaji huo uwakala mkuu, yaani sina shida nao.
Ndio wakati wako sasa kama unaishi huko kuwasiliana na TTCL uombe uwakala na wewe usapply hivyo vitu kuliko kulalamika...
 
Imekuwa ni desturi ya Magufuli kutengua nafasi za wakurugenzi na vigogo ambao walishindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi .

Mengi yameongewa kuhusu kitenguliwa kwa nafasi hizo hasa baada ya kutowekwa wazi kwa sababu stahiki za kutenguliwa kwao.

Ipi ni siri ya Dr Kazaura kuendelea kuwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL ilhali ni moja ya mashirika ya umma yaliyokuwa na ubadhirifu Mkubwa na mikataba mibovu . mfano ni mkataba baina ya TTCL na Airtel ambao ulididimiza kabisa ufanisi wa TTCL..

Mtoa post ni moja ya vijana ambao wamezaliwa miaka ya 2000, niwazi tu hajui historia ya nchi, TTCL wala historia ya sekta ya mawasiliano. Kijana huyo ni kati ya vijana wavivu na wazembe ambao hawajishughulishi kusoma ili kujiongezea maarifa na uelewa juu ya mambo mbalimbali hususani TTCL ilipotoka, ilopo na inapokokwenda. Kama hujafanya tafiti dont speak. Suala la bhart airtel na TTCL limezungumzwa sana kwenye vyombo vya habari mitandao ya kijamii, take time to read. Dr Kazaura unahusika vipi na issue na mkataba wa Bhart Airtel??? mikataba mibovu ipi?...... kaka Nenda shule
 
Yani hawa TTCL ni majipu tena majipu uchungu. Nilikuwa nawaza hivi boss wao ni nai na anafanya kazi gani?. Ninafanya kazi in a very remote area ambapo hapakuwa na network coverage ya mtandao wow0te ule hadi mwezi uliopita mabapo TTCL wali activate mnara wao uliokuwepo for almost three four yeras. Sasa maajabu ya TTCL wame activate mnara halafu hawana line wala vocha, so kukawa na network ya TTCL lakini jamaa hawakulete line wala vocha. Sababu kibiashara tulikua tunategemea siku wana activate mnara wao wangeuza kuanzia simu za promosheni, line na vocha. ila jamaa hawakuja na line hata mojaaa. Kumbuka kijiji kiko very remote so access ya vocha na line ni hadi uende mjini ambapo ni zaidi ya km 200!!! wakarudiu baada ya kama wiki mbili na visimu vichacheeee, na line chacheee akati demand ilikua kubwa sana.. nikashindwa kuelewa hawa jamaa wana mtu wa marketing kweli????? yani ni lijipu uchungu hawa. wangekuwa ni wenzao tigo au voda wangeleta na matarumbeta siku ya ufunguzi wa mnara na simu za promo na line zingekuwa kede kede..
Ulijuaje hakuna network ya TTCL pasipo kuwa na line yake??

Acha uongo aisee.
 
Kutumbua bila kumpa mhusika nafasi ya kujitetea si mzuri kwa hali ya kawaida lakini kuna watendaji ukiambiwa waliyotenda inatia hasira sana ambayo inapelekea kuona kwamba hakuna sababu ya kumpa nafasi ya kumsikiliza.

Mtu mwenye akili yake timamu kwa mfano akafuatilia yanayotendeka Chuo cha Ufundi Arusha ni lazima apatwe na hasira kali inayoweza kumtumbua mtu bila kumpa nafasi ya kujitetea. Ni waongo kupita kiasi, ni wapika taarifa wa kutisha, ni wezi hakuna mfano, katika mazingira ya aina hiyo inaweza kumpa hasira mtumbuaji asione sababu ya kutoa nafasi ya kujitetea na ikizingatiwa kwamba mengine pengine yako wazi kabisa.

Kuna watu wanafanya mambo yanayokera jamani nyie sikieni tu, wengine wana roho mbaya shetani ni kidogo.
 
7640_10153996847952487_1296214619587581403_n.jpg
 
Imekuwa ni desturi ya Magufuli kutengua nafasi za wakurugenzi na vigogo ambao walishindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi .

Mengi yameongewa kuhusu kitenguliwa kwa nafasi hizo hasa baada ya kutowekwa wazi kwa sababu stahiki za kutenguliwa kwao.

Ipi ni siri ya Dr Kazaura kuendelea kuwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL ilhali ni moja ya mashirika ya umma yaliyokuwa na ubadhirifu Mkubwa na mikataba mibovu . mfano ni mkataba baina ya TTCL na Airtel ambao ulididimiza kabisa ufanisi wa TTCL..

leo ametumbuliwa ameshateuliwa Ndg Waziri Kindamba
 
Imekuwa ni desturi ya Magufuli kutengua nafasi za wakurugenzi na vigogo ambao walishindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi .

Mengi yameongewa kuhusu kitenguliwa kwa nafasi hizo hasa baada ya kutowekwa wazi kwa sababu stahiki za kutenguliwa kwao.

Ipi ni siri ya Dr Kazaura kuendelea kuwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL ilhali ni moja ya mashirika ya umma yaliyokuwa na ubadhirifu Mkubwa na mikataba mibovu . mfano ni mkataba baina ya TTCL na Airtel ambao ulididimiza kabisa ufanisi wa TTCL..
Mbona tiari mkuu, na serikali imenunua hisa zote
 
Huo mkataba Airtel haukuingiwa katika kipindi chake, madudu mengi yamefanywa kipindi ambacho viongozi ambao wapo upinzani leo walikuwa na mavyeo makubwa utawala.
Mark Mwandosya yuko upinzani?
Yeye na Mkapa ndio walioiua TTCL
 
Sifa ambazo zinakufanya usitumbuliwe na Daktari wa Hospital yetu ya kaya.

1.Uwe msukuma,mhaya ua mzinza

na sifa hizo hizo zinakufanya uteuliwe kuingia katika chumba cha operesheni + jinsia ya me + dini yako.(sijui dini gani)
Ww ni Bure kabisa
 
Imekuwa ni desturi ya Magufuli kutengua nafasi za wakurugenzi na vigogo ambao walishindwa kufanya kazi zao kwa ufanisi .

Mengi yameongewa kuhusu kitenguliwa kwa nafasi hizo hasa baada ya kutowekwa wazi kwa sababu stahiki za kutenguliwa kwao.

Ipi ni siri ya Dr Kazaura kuendelea kuwa Mkurugenzi mkuu wa TTCL ilhali ni moja ya mashirika ya umma yaliyokuwa na ubadhirifu Mkubwa na mikataba mibovu . mfano ni mkataba baina ya TTCL na Airtel ambao ulididimiza kabisa ufanisi wa TTCL..
Kilio chako kimesikika
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom