ipi nzuri zaidi!!!!!!!??

Princess,

Kwa mtazamo wangu mimi huwa kuna mambo mawili makubwa ya kuangalia wakati wa kuingia kwenye mahusiano, la kwanza ni Dhamira yenu wawili kuishi pamoja na la pili ni kama mko tayari kukubaliana kuwa pamoja. Umri kwangu huwa sio kigezo kikubwa cha kuingia kwenye mahusiano.

Lakini, maumbile ya ki biolojia yamekuwa yanawa disadvantage wanawake kwa kuwapeleka kwa kasi zaidi ya ukuaji kuliko wanaume. Kwa mfano umri wangu wa miaka 29 ukiniweka na mwanamke mwenye umri kama wa kwangu kwa mtazamo wa macho utahisi amenizidi zaidi ya miaka 5 na zaidi. Hali hii ndio iliyofanya kukawa na dhana ya kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye umri mdogo kidogo na mwanaume ili picha ziende sawa.

Ile nyingine inayosemwa sana na watu kuhusu uwezo wa kufikiri siipi uzito sana kwasababu linapokuja suala la mahusiano haliangalii u proffesa wako wala uwezo wa IQ yako.
thanx a lot!! imetulia!!
 
mkuu kisia kwamba unampenda sana mwanamke lakini amekuzidi kwa miaka yazidi sita lakini lila ukimuona chini ya tumbo panastuka.usingizini hakulaliki yaani kila kitu kwako ni tabu kuhusu huyo mwanadada utabaki unahesabu miaka au utaupatia moyo kitu roho inataka.kumbuka mapenzi kizungumkuti.
mbona wazuri wengi wanaonizidi umri akili yangu inaniambia respect your sis... so ni hilo tu pick ur destiny bana!
 
Kimila, kitamaduni na kidini...katika mahusiano ya kimpanezi mwanaume anatakiwa amzidi mwanamke umri.

Kiukweli hapa ntahitaji ufafanuzi:

Dini ipi unayozungumzia hapa? Waweza tuwekea vifungu?
Ni mila ipi unayozungumzia hapa? Ya kiafrika? Kabila gani? Je za kizungu, kihindi et el? Mtoa mada kaulizia in general, labda kapata buzi la kijeremani utajuaje?

Naomba ufafanuzi ghafla kabla sijarejea mapangoni Tora Bora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom