ipi nzuri zaidi!!!!!!!??

Haya mambo ya umri naona kama ilikuwa njia ya wazee kupunguza competition toka kwa vijana,na ndio maana ikaonekana ni vyema mwanababa amzidi mwanamama kiumri.Lakini tukirudi kwenye ukweli umri si chochote katika mahusiano.Nasema hivi kwa kuwa ninauhakika wanamama watu wazima nao wanavutiwa kwa sana tu na vijana wadogo ila ndio wanaogopa jamii itawatazama vipi.Lakini katika maelewano na mapenzi hakuna tatizo lolote.Mimi binafsi nimeshaishi kinyumba na mwanamama aliyenizidi miaka minane na hakukuwa na tatizo lolote..
 
khaaa shemeji!!!!!!! nimekumic!!!!!!!!
 
thx wangu kwa kuwa nawe umeona kuwa umri ni minamba tu...jianaume linaweza kuwa kubwa(kama lile toto la aliyekuwa Waziri Mkuu enzi za Mwinyi, sijui linaitwa Wille) halafu upstairs lipo so inferior

Nashukuru kujua kuwa hata nawe umekubaliana na hilo.
 
Haya mambo ya umri naona kama ilikuwa njia ya wazee kupunguza competition toka kwa vijana,na ndio maana ikaonekana ni vyema mwanababa amzidi mwanamama kiumri.Lakini tukirudi kwenye ukweli umri si chochote katika mahusiano.Nasema hivi kwa kuwa ninauhakika wanamama watu wazima nao wanavutiwa kwa sana tu na vijana wadogo ila ndio wanaogopa jamii itawatazama vipi.Lakini katika maelewano na mapenzi hakuna tatizo lolote.Mimi binafsi nimeshaishi kinyumba na mwanamama aliyenizidi miaka minane na hakukuwa na tatizo lolote..

Msiri wangu we Kauzu na Huyo mwanamama nae Kauzu.
 
In this generation, age ain't nothing but just a number. Mwanaume wa 60 yrs anajivutia jiko la 28 yrs and vise a versa mwanamke mzee naye anajitwalia SERENGETI BOY mchanga! And life goes on...........
 
umeona enhee!!??
 
napenda msichana azidiwe 3 to 8 years it is perfect for me!
mkuu kisia kwamba unampenda sana mwanamke lakini amekuzidi kwa miaka yazidi sita lakini lila ukimuona chini ya tumbo panastuka.usingizini hakulaliki yaani kila kitu kwako ni tabu kuhusu huyo mwanadada utabaki unahesabu miaka au utaupatia moyo kitu roho inataka.kumbuka mapenzi kizungumkuti.
 
Mwanaume amzidi mwanamke angalau si zaidi ya miaka 10. Kwa sababu ikizidi zaidi itaonekana mmoja kuwa mtoto wa mwingine na kuleta vituko kwa jamii!!
 
hahahha!! kwel kabisa!! af ikia hv baadae wanakuwa sawa wakizeeka coz wanawake wanawah kuzeeka!!
 
hello
eti wadada na wakaka!! ipi ni nzuri zaidi!!?? kuwa na mchumba mnaelingana umri!??! au aliyekuzidi umri kwa wadada na uliyemzidi umri kwa wakaka!!??
:gossip::gossip::gossip:
Princess,

Kwa mtazamo wangu mimi huwa kuna mambo mawili makubwa ya kuangalia wakati wa kuingia kwenye mahusiano, la kwanza ni Dhamira yenu wawili kuishi pamoja na la pili ni kama mko tayari kukubaliana kuwa pamoja. Umri kwangu huwa sio kigezo kikubwa cha kuingia kwenye mahusiano.

Lakini, maumbile ya ki biolojia yamekuwa yanawa disadvantage wanawake kwa kuwapeleka kwa kasi zaidi ya ukuaji kuliko wanaume. Kwa mfano umri wangu wa miaka 29 ukiniweka na mwanamke mwenye umri kama wa kwangu kwa mtazamo wa macho utahisi amenizidi zaidi ya miaka 5 na zaidi. Hali hii ndio iliyofanya kukawa na dhana ya kuwa na mahusiano na mwanamke mwenye umri mdogo kidogo na mwanaume ili picha ziende sawa.

Ile nyingine inayosemwa sana na watu kuhusu uwezo wa kufikiri siipi uzito sana kwasababu linapokuja suala la mahusiano haliangalii u proffesa wako wala uwezo wa IQ yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom