Ipi njia sahihi ya kutunza bettery

Kaka trust me...the best way ni kwamba battery ikijaa toa charger..tumia then ikipungua kabisa weka tena....ukiendelea kuweka chaji hata kama battery imejaa...battery yako itakufa haraka sana
 
Kaka trust me...the best way ni kwamba battery ikijaa toa charger..tumia then ikipungua kabisa weka tena....ukiendelea kuweka chaji hata kama battery imejaa...battery yako itakufa haraka sana

Mkuu unajidanganya
 
laptop nying zina auto turn off charging system ambayo yenyewe automaticaly batt ikijaa inadisconnect from charging kwa kutumia inbuilt switchng transistors ambazo zinafanya monitoring ktk charging systm ya laptops kwa hiyo wala huna haja ya sijui unplug mara sijui utoe batt huo wote ni uharibifu tumia tu kama kawaida chamno vi2 vya kuzingatia ni kuhakikisha pale unapo fanya kazi ngumu au nzito ambayo itafanya computer iwe very busy comp yako iwe connected to power na km unatizama muvies kupita cd drve au dvd drive pia hakikisha comp ipo plaged direct to power hata kama batt ipo full ki2 kingine epuka kutumia batt hadi inaisha kabisaaaa hadi inazima yenyewe pia nihatari kwa maisha ya battry pia power fractuation wakati inacharge nalo ni tatizo kwa batt, lingine kutumia unspecified charger hasa hizi zinazo uzwa madukan ambazo sio ariginal (maltipapasi charger) nazo ni tatizo kwa batt life coz zinatoutiana curent na watts na out put voltage zinakuwa tofauti ivo pia linakuwa tatizo sababu nyingine ni kutumia comp huku cooling holes zikiwa zimezibwa mfano kuweka kwenye mapaja au kitandan hasa kwa zile ambazo cooling zipo chini hii kusababisha joto kali ambalo pia huathiri batt kutokana aina ya materials au madin inayo tumika kutengeneza rechable battries hizo ni baadhi amabzo ni muhimu zaidi.

Best Answer from look
 
Last edited by a moderator:
Ki ukweli naungana na LOOOK kasema kweli kabisa na hata mimi ndo natumia procedure ya kuiconect kwenye power wakati inatumika na bentri yng ipo imara huu mwaka wa 3 naweza nikaangalia movie 4 bila kuconnect kwenye power.
 
Back
Top Bottom