mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 977
- 176
Nina mdogo wangu wa miaka 9 kwa sasa anasoma st magreth kimara bweni, tatizo haipendi hiyo shule na anataka tumhamishe, so nilikuwa naomba kujua shule nyingine nzuri ambayo ni ya bweni na ina mazingira mazuri kwa watoto kwa hapa dar.......nitashukuru sana nikipata na adrres au contacts za shule.....natanguliza shukrani zangu