Ipi ni shule nzuri ya Sekondari ya wasichana?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,133
659
Kwa wenye kufahamu shule za mkoa wa kilimanjaro za binafsi(private),ambazo ni nzuri na mchangayiko(boys&girls) au wasichana pekee anijulishe,na mawasiliano ya shule hizo. Nina binti nataka nimtafutie nafasi ya kusoma form 2.
 
Wakuu! Naomba kujuzwa Shule ya wasichana iliyopo mkoa wowote ambayo inafaa kwa wasichana kimaadili na Elimu bora, itakuwa vema zaidi kama mtanijuza na viwango vya Ada
 
Kwa ubora wa Shuke peleka mwanao Catholic Schools.....Wahi
maana form zilianza tolewa miezi ya mwanzoni....
Ngoja nikutajie baadhi

Precious Blood Arusha

Notre Dame Arusha

Marian Pwani

St. MaryGoret Kilimanjaro

Anwarite Kilimanjaro

Kibosho Girls Kilimsnjaro

Visitation Kilimanajaro

Kandoto Science Kilimanjaro

Kifungilo Tanga

Rosmin Tanga
 
Kuna shule nzuri pia hapa Dar inaitwa BRIGHT FUTURE GIRLS' SECONDARY SCHOOL. Shule hii inatoa elimu bora sana, ni shule mpya lakini imeanza kwa kasi sana maana inajua kunaushindani hivyo inajitahidi kuhakikisha inatoa huduma bora ya kipekee sana.
Shule ipo manispaa ya ilala,kata ya msongola mtaa wa mbondole. Ada yake ni mil2.8

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nashukuru kaka mkubwa
 
Ahsante sana mkuu
Shule ipo manispaa ya ilala,kata ya msongola mtaa wa mbondole. Ada yake ni mil2.8

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Asante sana mkuu Muntu
 
Joyland girls,mother teresa of calcuta ,kandoto science girls, st.joachim boys,kiloneni girls ,st. Stephen boys .(zote zipo knjaro) mbili wilaya ya mwanga na the rest same. Google uangalie perfomance.
 
ST.FRANSIS MBEYA AU ST.MARIAN BAGAMOYO hapo mtoto akifikia mtihani wa NECTA we hesabu DINSTICTION(I) au MERIT(II) ila mtoto kichwani ndio vle tena basi atachujwa mapema sana so angalia kwanza historia ya uwezo wa mtoto wako darasani
 
Back
Top Bottom