ipi ni sahihi zaidi?

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,510
7,541
wadau kati ya ''Academic Registration Information System''na ''Academic Information Registration System'' ipi ni sahihi zaidi kueleza mfumo wa kurekodi/ kuhifadhi taarifa/takwimu za kitaaluma za muhusika maana imenikanganya kwa kweli.
 
Hizo blue zinaoana vizuri JAYJAY
 
Hizo blue zinaoana vizuri JAYJAY

Nakubaliana nawe Mkuu pmwasyoke. Ila napenda kuweka msisitizo tu kwa Jayjay kwamba kwa kuwa kinachotakiwa hapo ni MFUMO WA KUREKODI, hivyo "Academic Information Registration System" ndio sahihi.
Kwangu mimi nadhani "Academic Registration Information System" itakuwa ni "Mfumo wa Taarifa za Usajili wa Taaluma" - ina ukakasi kidogo hata kutamka.
Respect!
 
wadau kati ya ''Academic Registration Information System''na ''Academic Information Registration System'' ipi ni sahihi zaidi kueleza mfumo wa kurekodi/ kuhifadhi taarifa/takwimu za kitaaluma za muhusika maana imenikanganya kwa kweli.

Zote zaweza kuwa sahihi kutegemeana na unachotaka kusema hasa. Kinacholeta shida hapo nadhani ni maneno 'System' na 'Information System' . Zote mbili ni dhana zinazoweza kujitegemea. Katika muktadha wa maelezo yako "Academic Registration Information System" nadhani ndio sahihi zaidi.

An information system (IS) is any combination of information technology and people's activities using that technology to support operations, management, and decision-making.

as a discipline:
Information Systems (IS) is a professional and academic discipline concerned with the strategic, managerial and operational activities involved in the gathering, processing, storing, distributing and use of information, and its associated technologies, in society and organizations
 
Back
Top Bottom