Ipi ni nafasi ya siasa katika maendeleo ya nchi?

What do you suggest should be done then? Because even if you hate politics ukweli unabaki kuwa what happens in politics directly affects you. Nakubaliana na wewe kuwa kuna watu wana personal agendas lakini kama ume gundua wengi wenye agenda binafsi wana gundulika kirahisi. You have suggested what should be done but you have not suggested how it should be done na mfano tu ni ulipo sema watu wawajibishwe lakini hujasema kifanyike nini. Kama unatoa suggestion utatu saidia sana ukitueleza how you hope it will be implimented. kumbuka most things kwenye haya maswala are easier said then done.

All in all I think I know where you are getting at but you must present it better in order to convince people.
 
Thanks I did,
I suggested that we follow the trail of money!!
like the EPA saga, (japo wengine hawajakamatwa)
We name all the names involved,
Sio kukiwa na issue kwa kuwa haina jina KUBWA JF, inaonekana sio ishu, yani kama haina mkapa, JK, Ra, LA, Mengi nk, tunaiona sio ishu, mfano, what happenned in TRL?? hivi kweli what is going on there?? hao maofisa kama ni wizi au uzembe wanafanywaje?
mfano, au kwa kuwa haina mgombea wa 2010?
 
Thanks I did,
I suggested that we follow the trail of money!!
like the EPA saga, (japo wengine hawajakamatwa)
We name all the names involved,
Sio kukiwa na issue kwa kuwa haina jina KUBWA JF, inaonekana sio ishu, yani kama haina mkapa, JK, Ra, LA, Mengi nk, tunaiona sio ishu, mfano, what happenned in TRL?? hivi kweli what is going on there?? hao maofisa kama ni wizi au uzembe wanafanywaje?
mfano, au kwa kuwa haina mgombea wa 2010?

Haika uko sawa, tuwe wangalifu inawezekana hata malumbano yaliyoko sa RA na RM ni strategy ya kuondoa watu kweny mwelekeo wa kufuatilia Kashfa kubwa kubwa kama vile EPA,RICHMOND, na maswala mengineyo.
 
Kutoka katika hoja ya kujadili watu, toa makadirio ya hela ambazo wanashutumiwa mapapa kufisadi jumlisha na zile za nyangumi ambazo anaonekana kupiga mishemishe ili tupate thamani ya pesa tunayoingelea.

papa + nyangumi = ?

Vita dhidi ya epa na richmond ilipata nguvu kwa sababu nyingi, lakini majowapo ilikuwa ni uwezo wa wasemaji wake kusema ubadhirifu ule kwa tarakimu!
 
NAOMBA KUTOA HOJA,
Nimevumilia nimeshindwa, baada ya kuona kuwa hata watu niliokuwa nawaamini hapa JF wameingia mkumbo.

Watanzania wenzangu, tusiwafaidishe hawa mafisadi kwa kuposti habari za kuwatetea au kuwaponda kwa stori za mtaani.

Wote tunajua kuwa fedha zetu nyingi sana zimepotelea kwa hawa mafisadi, waliotajwa na ambao bado hawajatajwa,
-------------
Mimi binafsi niliupenda mtindo wa mashtaka ya EPA ambao, jumla ya fedha za wizi zilikuwa traced mpaka wakakamatwa waliokamatwa, kakuna umbea wala nini. wengine wahindi, wengine wachaga, wengine nk.

Kama inawezekana mabishano hapa ya ku-trace fedha zilikoenda, sio sura zilikoenda.
---------------
I HATE HATE POLITICS, THEY ARE CHEAP

Nakubaliana na wewe mkuu lakini opinion yako inajipinga kidogo.
Katika JF si tu kwamba kuna great thinkers tu lakini kuna sans cullotes vile vile.
Na wote hawa wana feelings sawa as binadamu.
Nenda pale Mbagala na kaongee upupu na mtu utapata matusi sawasawa na discontent waliyonayo wananchi.Hapo utaelewa kuwa pamoja na kuwa si wasomi wanazo feelings za kuonyesha hadarani kama binadamu yeyote.
Mafisadi karibu wote wametajwa ,ila kuna kuoneana haya kuwachukulia hatua.Kwamba walio wengi kati ya hao mafisadi papa kuwa ni waAsia is not a coincidence.
Si jambo la bahati mbaya , kwani wana mikutano yao jinsi ya ku-penetrate finances kupitia viongozi waliopo serikalini.
Suala la Mengi na mafisadi Papa is a very interesting case kwani, kihistoria waAsia wikikupa rushwa , wakibanwa ni lazima watamtaja yule waliyeshirikana naye katika wizi.Kumbuka suala la Baghdad,sisi tunasubiri tu.
All in all ,big happennings are always done by the most daring who in many cases do nat happen to be very bright.
 
Kwanza naanza na kuwasalim HABARI ZENU?

Mimi kama mtanzania mwenye uchungu na nchi yangu japo siwezi kuiokoa kwa nafasi niliyo nayo.

kubwa ninalotaka kuliongelea kwenye ukurasa huu ni juu ya madai ya ROSTAM na skendo zake, Kwanza simuelewi Mh. Rais kwanini amekaa kimya juu ya haya? ata kama ni urafiki si kiasi hiki mi nadhani labda naye ana alishiriki katika uraji huu unaofanywa na ROSTAM na wenzake mafisadi papa.

Tukiwa kama watanzania tunakuwa na matalajio makubwa kila inapofika mwisho wa mwezi kusikiliza hotuba ya Mh. Raisi nini kaamua lakini aoneshi kuliongelea kabisa.

Pili namshangaa mbunge wa zanzibar kwa tiketi ya CUF kwa hoja yake siku ya kufunga bunge akimshauri mweshiwa waziri Mkuu Mizengo aichukulie atua ITV na Mengi kwa alicho kisema mengi, Swali kweli huyu naye anauchungu na Tanzania au naye analizika na maovu ya ROSTAM? Nampongeza sana Mh. Waziri mkuu kwa ushupavu wa kujibu hoja ya huyu bwana wa CUF anaye onesha anauchungu wa Taifa hili.Kwani alicho kifanya mengi ni kutaka sisi tunaoishi katika mazingira magumu tujuwe ni wakina nani wanafanya maishas yetu yawe magumu kila siku. HONGERA MIZENGO

kingine Mengi, Slaa, na wengine wote mnao pingana na ufisadi kwanini mnashindwa kuwa wa kweli kusema raisi ndio kivuli na ndio sosi ya kufanya wakina ROSTAM na wenzake kuwa viburi?

Mh. Rais tulipanga mistari mirefu kukupigia kula tukiwa na imani unaweza kuipeleka tanzania mahali pazuri kumbe sio. Badiliki
 
Nadhani cha kufanya na haswa hua nasema upinzani wanabidi wafanye hivi ni kuelimisha watu. Tanzania ni nchi masikini. Kuna watu wengi wasio wasomi na kuna watu wengi hawana access to mambo kama mtandao na kadhalika. Hawa watu wanao potosha nchi hawa concentrate kwenye minority ambao ni informed & educated wana concentrate kwenye majority who are not. Swala lolote ikija kwenye siasa za nchi una hitaji majority kushinda. Hawa wajinga wanao tuendesha wana potosha the majority kwa sababu huko ndipo wanajua ushindi upo. If we want to win the war against ufisadi na mambo mengi of national interest we must educate & inform wale ambao are not as privileged as some when it comes to information. Siyo kusema mtu asiye na elimu hana upeo wa kuelewa mambo lakini ukweli ni kwamba the majority of the ill informed & uneducated need their brothers & sisters who are not to help them give the right information. Vita hii tunabidi tui hamishe kwenye vyombo vya habari na tuzi peleke kwa wananchi. Wananchi wengi wame choshwa na hii hali lakini ana jisemea mimi mtanzania wa kawaida nita fanyaje? The truth is the people have power not the government because it is the people who put them there. It is time to educated Tanzania & let them know they are bigger than they think. Once people know their powers its then time to educated them on how to use it. thats why mara chache nimesema kuwa binafsi kumake a change ni vigumu ila watanzania wanao taka mabadiliko wakiungani tutakuwa jeshi kubwa tu la kutetea maslahi ya nchi. The people need to be inspired to take charge & its the responsibility of each & everyone of us over here to try & inspire change. Our independence was not gained by weapons or bloodshed, it was won by the people.
 
NAOMBA KUTOA HOJA,


Hebu tuamke,
Kama VODA, ZAIN, ZANTEL, TIGO zilianzishwa kinyume basi wote wawajibishwe,
I HATE HATE POLITICS, THEY ARE CHEAP

HAIKA.
Karibu endelea kutoa hoja.
Siasa......siasa........siasa........siasa????????????????
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom