Ipi ni Combination nzuri?

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,467
14,314
Hello wapenzi wa forum hii….
Nilikuwa nauliza swali na nina imani nitasaidiwa, mimi kabila langu ni msukuma , na nimekua nikivutiwa sana na makabila ya wanyakyusa, wapare, wasambaa, Je kama siku nikitaka kutangaza nia yakutaka kuoa, combination ipi itaendana na mimi?…..
Suala la tabia na mambo mengine naomba yasiwe considered ninachotaka kuuliza kwenu ni comination ipi nzuri? Ikiwezekana toa na sababu
Msukuma vs Mpare?
Msukuma vs Mnyakyusa?
Msukuma vs Msambaa?
 
dah!:twitch: mkubwa combination nzuri ni ile mtakayo elewana na kupendana kwa dhati,mapenzi hayana kabila kwa mtazamo wangu,au labda una lengo jingine zaidi hujatuambia but kama ni mwenzi wa kuishi nae nafikiri combination nzuri ni hiyo hapo juu.
 
Msukuma vs Mnyakyusa ni nice combination, mtoto atatoka bomba, wote ni wachapakazi, so maisha hayatawapiga chenga.
 
Wemskuma mwenzangu vipi chagola ngocha oyo ontokwile. lakini lolo hange olenabho badato olenakazi ngoi hamo osole akamoshi, ila akatanga bwokoshiheja na ak dakama natadebhile lolaga nanho lakini kamoshi tochoji
 
dah!:twitch: mkubwa combination nzuri ni ile mtakayo elewana na kupendana kwa dhati,mapenzi hayana kabila kwa mtazamo wangu,au labda una lengo jingine zaidi hujatuambia but kama ni mwenzi wa kuishi nae nafikiri combination nzuri ni hiyo hapo juu.

umenena mwaya. mapenzi yasiku hizi kichefuchefu, mtu anajipangia kabisa nataka aweje, anasikilizia akili kuliko moyo, that why marriage brokeup ni nyingi sana.
 
Combination nzuri ni:
Wewe vs Mapenzi ya kweli... nyingine zote uongo!!!!
 
Mnyakyusa kuoa msukuma haisumbui sana kwani mabinti wa kisukuma wanaweza kuvumilia udikteta, lakini sio wewe msukuma kuoa mnyakyusa utausikilizia moto wake kutoka kwa wanawake madikteta wa kinyakyusa. Kuoa mpare haikufai wewe msukuma kwani ni wabahili sana wakati nyie wasukuma mnasifika kwa kuspendi. Nashauri kamata Msambaa, utaenjoi sana.
 
Wemskuma mwenzangu vipi chagola ngocha oyo ontokwile. lakini lolo hange olenabho badato olenakazi ngoi hamo osole akamoshi, ila akatanga bwokoshiheja na ak dakama natadebhile lolaga nanho lakini kamoshi tochoji

kiswahili kilisanifishwa na gavana wa kiingereza tanganyika mwaka 1925.
 
mkuu hapo unamaanisha una hizo ngoma tatu unataka kuchagua moja! sidhani kama kuchagua kwa makabila itakusaidia sana, cha muhimu angalia unayempenda kwa dhati na anayekupenda pia.... hayo mambo ya combination kwa kuangalia kabila sio kabisa siku hizi...
 
Wanyakyusa wanaongea sana utakuwa zuzu na msivyojua kuongea! chukua cha tanga mpare utaharibu mbegu
 
Acha mambo ya kizamani wewe kabila ndo nini??? Muone kwanza hata haya huna??? Kabila ubaguzi tuuu
 
Mnyakyusa kuoa msukuma haisumbui sana kwani mabinti wa kisukuma wanaweza kuvumilia udikteta, lakini sio wewe msukuma kuoa mnyakyusa utausikilizia moto wake kutoka kwa wanawake madikteta wa kinyakyusa. Kuoa mpare haikufai wewe msukuma kwani ni wabahili sana wakati nyie wasukuma mnasifika kwa kuspendi. Nashauri kamata Msambaa, utaenjoi sana.

hili ndio jibu alilokuwa nataka jamaaa sio maneno mengi kula 99/100
 
dah!:twitch: mkubwa combination nzuri ni ile mtakayo elewana na kupendana kwa dhati,mapenzi hayana kabila kwa mtazamo wangu,au labda una lengo jingine zaidi hujatuambia but kama ni mwenzi wa kuishi nae nafikiri combination nzuri ni hiyo hapo juu.

jasiri aachi asiri; hata akikupenda vipi itafika siku kaurithi katabia za ukoo/kabila kaliojificha kwenye Mitochodrial DNA katajionyesha tu.
Kama navyosikia Wamachame hawakawii kuwalipua waumezao (sijui ni kweli), Wazaramu Mwiba (Figa Tatu)(sijui ni kweli),Wamakonde alichompa mungu bure hawezi kumnyima mtu ((sijui ni kweli)), Wahaya Mamaweeeee!!, .......
 
Makabila nchini yako zaidi ya 120!!kwa nini uwasemee hawa tu!!Dhambi ya ukabila nayo itatuua
 
Back
Top Bottom