Ipi,kama ikiwa itakua ndoa ya kuvutia??.....!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,709
Jana nilipata pm kutoka kwa jamaa yangu akiniuliza,kuna wana MMU humu kama wakifunga ndoa itakuwa yenye kuvutia,lakini pia wapo wengine wanavutiwa na watu humu,je wewe ungependa kama nani angefunga ndoa na nani ingekuwa poa?Je unaweza kusem kama ingewezekana ungetamani ufunge ndoa na nani?Usiogope sema tu huu ni mtazamo tu!Inaweza ikawa fursa kwako kusema kilicho moyoni mwako!
 
Mimi ningependa kuona kuona Mr.Rocky na bebii wakifunga ndoa,kwani hawa wana mitazamo tofauti ya ndoa,hivyo itakuwa ni wakati wa mmoja kumprove wrong mwingine!
 
Lady N... Avatar yako ya ndizi imenvutia sijui ni hii swaum......ndizi zimeiva utamuuuu........
 
Eiyer naona unatafuta balaa
Hahahahha nimeipenda hiyo
Ila duh hapo nitakuwa nafunga na keyboard maana hata kuiona sura yake sijawahi
 
mimi ningependa kuona kuona mr.rocky na bebii wakifunga ndoa,kwani hawa wana mitazamo tofauti ya ndoa,hivyo itakuwa ni wakati wa mmoja kumprove wrong mwingine!
mr rocky ni nani?
 
Hakuna wa kukufumania utakuwa wewe ndio mmiliki halali na mwenye copyright wengine wote watakaokuja wataambulia vumbi
 
Marelia Sugu na Faiza Foxy, hawa watapendeza zaidi. hata wakienda shopping watakuwa hawana shida mmoja ananunua Hijab mwingine ananunu vipedo na kandambili.
 
Mimi hapa jf ningependa niwe na wake wanne
mke wa kwanza awe faizafoxy.....

Wengine nitawataja baadae....lol
 
Back
Top Bottom