Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

Subaru ndiyo habari ya mjini. Iko comfortable, speed 240-260 hakuna yeyote anaweza kukusumbua barabarani.
Hata Mark X nayo iko poa. Ila kubadilisha ladha nakushauri chukua Legacy mkuu, gari la mashindano hilo
Kwenye speedometer wameweka speed 180 mwisho
Inafikaje uko mkuu??(240 au260)
 
kweli tafuta isiyo na turbo, autajutia pesa yako
Isiyo na Turbo utaijuaje?

Napenda sana Subaru. Nmeshaendesha hizi gari za Toyota zimenichosha. Mimi nataka Subaru Forester ya 2006 au 2007-2008.Ila naona zinaTurbo, sasa sijajua utazijuaje, ingawa inaonyesha zile zenye uwaz kwenye bonet ndiyo Turbo.
Ni umaskini tu lakini gari yenye turbo inapanda mlima kitonga kama mteremo vile.
 
Basi itakua nimechanganya na mnyama mmoja ameandikwa WRX.Huyo ni Subaru hatari, speed yake hatari tupu. Huwez kuonewa. Analo jamaa yangu mlio mzito kama wa Simba. Ila lile naamini litakua na undugu na Mafuta kwa vyovyote
Hahahahaha
 
Isiyo na Turbo utaijuaje?

Napenda sana Subaru. Nmeshaendesha hizi gari za Toyota zimenichosha. Mimi nataka Subaru Forester ya 2006 au 2007-2008.Ila naona zinaTurbo, sasa sijajua utazijuaje, ingawa inaonyesha zile zenye uwaz kwenye bonet ndiyo Turbo.
Ni umaskini tu lakini gari yenye turbo inapanda mlima kitonga kama mteremo vile.
Yenye tundu ina turbo
 
kwa mfano kwa foresta vito x20 na xt. xt ni turbo na x20 ni non turbo. alafu utaona tungu mbele ya bonet
 
Mkuu, sijaelewa hiyo xt na vito zina utofauti gani? Hayo majina yapo kwenye Engine au wapi? Maana naona tu Engine CC 1990 (20J)
Na Maneno kama CGS nk. Ila hilo neno XT au VITO sijui linakaa wapi. Tafadhali saidia kufafanua!
 
kwa mfano kwa foresta vito x20 na xt. xt ni turbo na x20 ni non turbo. alafu utaona tungu mbele ya bonet
Ok kwa hiyo ukiona x20 hiyo haina turbo, kama nimeelewa. Naona kule nyuma kuna neno xt, lakini x20 sijawahi kuliona
 
watu wamezowea wakitaka kununua gari ilo kuwa sio toyota waulize spare tatizo sio spare maana hununui gari mbovu ila toyota ni gari mbovu ndio maana spare nyingi kila mara ina haribika kwa kibiashara mwenye duka ndio ataweka spare za toyota kwa wingi anajua ndio zinazo nunuliwa sana hizo gari kabila nyengine zinakuwa imara na pia sifikirii kama kuna company ya magari inayo kubali kutengeneza magaari mabovu ili wale hasara na wasiingie kwenye ushindani wa biaashara
Barbara zetu ndy zinaharibu hayo magari!
 
Chukua bmw 5series kwa ladha zote unazihitaji kwa sedan cars. ...dashboard 260km/hr iko very comfortable
 
Kama mkwanja haujatulia legacy ni nzuri nshawah push iko vyema ,Mark x Ile ya 2015 ndio machine wanauza million35
 
Gari ni Subaru Legacy, hata body yake ni ngumu tofauti na mark x iko na body laini kama nyanya
 
Subaru ndiyo habari ya mjini. Iko comfortable, speed 240-260 hakuna yeyote anaweza kukusumbua barabarani.
Hata Mark X nayo iko poa. Ila kubadilisha ladha nakushauri chukua Legacy mkuu, gari la mashindano hilo

Usichokijua ni kama giza nene. speed 240-260kph hakuna wa kukusumbua? Sababu ya kuzoea kuendesha vigari vya Japan. Uliza uambiwe.
 
Back
Top Bottom