Ipi inakubalika.... GPA au CGPA?...

Mbonea

JF-Expert Member
Jul 14, 2009
640
20
Wadau, ningependa kufahamu hapa kwetu huwa matokeo ya chuoni wanachoangalia ni GPA au CGPA n kama ni CGPA, je "UPPER 2ND" huanzia ngapi?

Nitashukuru sana mkinifahamisha kwa hilo.
Aksanteni.
 
Kwani hakuna Entry Exams!?, Where I went to school wanangalia Both, yaani Your GPA na Entry Exams!, au Qualifying Exams for instance MCAT, PCAT, OAT, DAT! etc.

Nowdays "Where I Live" i dont think kuwa GPA matters that much, they "Interviewers" are looking into Extracurricular Activities and How Well you have Performed your Oral Interview, and If you happen to pass Both including a Decent GPA You'll be good to go!.

Decent GPA: 3.0 - 3.5

GoodLuck! Mtu Wangu,
B.
 
Mie nachofaham kama kuna entry exams kwanza wanachuja kutokana na GPA then tunaenda kwenda entry exams na ndio maana kuna vyuo ukienda na GPA ya kuchechemea hata hawaangaiki na wewe, Bongo na Ulaya.
 
Wadau, ningependa kufahamu hapa kwetu huwa matokeo ya chuoni wanachoangalia ni GPA au CGPA n kama ni CGPA, je "UPPER 2ND" huanzia ngapi?

Nitashukuru sana mkinifahamisha kwa hilo.
Aksanteni.

I'll assume CGPA stands for cummulative GPA and GPA stands for Grade Point Average at a particular point in time.Hapa nyumbani 'a particular point in time' could be the end of a semester or the end of an academic year.

Sijui hasa unachotaka kufahamu cause 'matokeo ya chuoni' could mean any point in time.In any case upper second inaanzia (C)GPA ya 3.5.
 
Kuna aina mbalimbali sana ya kujua haya na, Ila ni tofauti sana nchi nyingine tofauti sana na tanzania. Hivyo kama Uganda wanaweza kutumia CGPA, yaani Commulative GPA ndio kirefu chake hicho lakini yote ni sawa tu
 
Sijui hasa unachotaka kufahamu cause 'matokeo ya chuoni' could mean any point in time.In any case upper second inaanzia (C)GPA ya 3.5.

Nilikuwa nataka kufahama UPPER 2ND inapoanzia mkuu n vile vile ni grade ipi ambayo unaenda moja kwa moja kusoma MASTERS?
 
Nilikuwa nataka kufahama UPPER 2ND inapoanzia mkuu n vile vile ni grade ipi ambayo unaenda moja kwa moja kusoma MASTERS?

Umeshaambiwa tayari ya kuwa Upper Second kwa TZ inaanzia 3.5 - 4.3 na first class ni 4.4 -5.0. Una maanisha nini unaposema kwenda moja kwa moja kwenye masters? Maana suala la kufanya masters linategemea mambo makuu mawili.1. Kufaulu kwako 2. Scholarship (japo hii unaweza kuwa unajilipia mwenyewe). Kwa TZ ukiwa na angalau lower second unaweza kuendelea na masters provided pesa za kulipa ada zipo japo pia itategemea na kozi unayoomba na ushndani katika admission. Nje ya nchi kila chuo wana matakwa yao na kwa ujumla inatakiwa angalau uwe na upper second japo hata lower second hukubalika japo kwa shida sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom