Ipi inaanza kati ya leseni ya biashara na TIN?

Jitihada

Senior Member
Feb 6, 2011
155
10
Habari zenu GT! Nina mpango wa kuanzisha biashara ili niweze jikwamua na tatizo la ajira, Naomba kujua nnatakiwa kuanza kupata kipi kati ya TIN (Taxpayer Identification Number) na Leseni ya biashara?
 
Leseni lazima iwe na TIN number kwahiyo unapata jibu la kipi kinaanza
 
Inaanza TIN kama walivokwambia wengine,

Ila nikujuze, ukienda kuomba TIN ya biashara lazima wakutoze kodi ya makadilio (Provisional Tax) hata kama biashara haijaanza na hujapata leseni. Imenitokea juzi nikawaambia TRA sasa nikinyimwa leseni na kodi nishalipa itakuwaje?
Hawana jibu, ni lazima ulipe kodi kwanza ndo TIN inatoka
 
"TIN hutolewa bure"

inabid uwe na TIN then ndo uanze kufuatilia leseni ya biashara husika.
 
Inaanza TIN kama walivokwambia wengine,

Ila nikujuze, ukienda kuomba TIN ya biashara lazima wakutoze kodi ya makadilio (Provisional Tax) hata kama biashara haijaanza na hujapata leseni. Imenitokea juzi nikawaambia TRA sasa nikinyimwa leseni na kodi nishalipa itakuwaje?
Hawana jibu, ni lazima ulipe kodi kwanza ndo TIN inatoka
Ninavyojua mimi TIN hutolewa bure. Mimi niliipata wakati natafuta Driving Licence au kuna utaratibu mwingine unapotaka kuanzisha biashara? Nilidhani TIN hutolewa uniformly
 
Inaanza TIN kama walivokwambia wengine,

Ila nikujuze, ukienda kuomba TIN ya biashara lazima wakutoze kodi ya makadilio (Provisional Tax) hata kama biashara haijaanza na hujapata leseni. Imenitokea juzi nikawaambia TRA sasa nikinyimwa leseni na kodi nishalipa itakuwaje?
Hawana jibu, ni lazima ulipe kodi kwanza ndo TIN inatoka

Dah, ni kama kiasi gani hyo kodi? Maana sina hizi habari, na nimeambiwa TIN inatolewa bure, niweke sawa kdogo hapa rafiki.
 
Nenda ofisi ya TRA hapo ulipo. Wahoji mambo mengi iwezekanavyo kuusu aina ngapi za ushuru wa biashara utatakiwa kulipa na masharti mbali mbali ili uwe na ufahamu wa kutosha kuendesha biashara yako.
 
Inaanza TIN kama walivokwambia wengine,

Ila nikujuze, ukienda kuomba TIN ya biashara lazima wakutoze kodi ya makadilio (Provisional Tax) hata kama biashara haijaanza na hujapata leseni. Imenitokea juzi nikawaambia TRA sasa nikinyimwa leseni na kodi nishalipa itakuwaje?
Hawana jibu, ni lazima ulipe kodi kwanza ndo TIN inatoka

nina wasiwasi mkubwa sana na hyo provision tax unayoizungumzia. Provision tax inalipwa kwa instalment 4 kwa mwaka(kila baada ya miezi 3), hii ina maana kuwa unapo-"file provision return of income" au "estimate of income tax payable" "instalment" ya kwanza unatakiwa kulipa ndani ya miezi mi2 tangu ulipoanza biashara hivyo basi hakuna sheria ya kodi ya mapato inayomlazimisha mtu kulipa kodi ndipo apewe "TIN" Kinachotokea hapa ni sheria kizani ya viwanda na biashara ambayo hao halmashauri wanaitumia ili kukupa leseni ya biashara kwamba lazima uwe viambatanisho vya "TRA kuwa umelipa kodi, hvyo kupelekea wao kukuchaji kodi kabla hata hujaanza biashara
 
Hee , hii nchi sasa ni balaa. Badala ya kwenda kuchukua mrahaba wao kwenye madini huko wanahangaika na wafanya biashara wa kawaida!
 
nina wasiwasi mkubwa sana na hyo provision tax unayoizungumzia. Provision tax inalipwa kwa instalment 4 kwa mwaka(kila baada ya miezi 3), hii ina maana kuwa unapo-"file provision return of income" au "estimate of income tax payable" "instalment" ya kwanza unatakiwa kulipa ndani ya miezi mi2 tangu ulipoanza biashara hivyo basi hakuna sheria ya kodi ya mapato inayomlazimisha mtu kulipa kodi ndipo apewe "TIN" Kinachotokea hapa ni sheria kizani ya viwanda na biashara ambayo hao halmashauri wanaitumia ili kukupa leseni ya biashara kwamba lazima uwe viambatanisho vya "TRA kuwa umelipa kodi, hvyo kupelekea wao kukuchaji kodi kabla hata hujaanza biashara

unaishi tanzania wewe au uko majuu unabeba maboksi??!!!

kama uko TZ, nenda TRA ukaulize halafu ukutane na moja kati ya maajabu saba ya Bongo TZ.
 
Lazima ulipe withholding tax(nafikiri inatokana na kodi ya kupanga) ,,halafu mtajadiliana kukadiria mapato yako ili ulipe kodi.
in summary utalipishwa witholding tax + kodi ya makadirio...
niliambiwa hivyo
 
SG8,

TIN ya Udereva ndo unatumia kufanyia biashara zingine pia????!!! Mbona mimi nimeambiwa lazima niwe na TIN ingine ili hali ninayo TIN ya Udereva??? Confused.....
 
kwa kadri ulvyotoa nambna, naamini hata gharama unawedza kuainisha, japo kwa estimate.

Bei kwa usajili wa Kampuni hutofautiana kutokana na mtaji wa Kampuni husika, kwa Kampuni zaidi ya mtaji wa millioni kumi na kuendelea husajiliwa kwa laki nne hivi, Vitabu(memo of understanding na article of assctn) nitakuandalia kwa laki na hamsini. hela ya kukufanyia kazi at least one hundred.I will get you a certificate within five working days. For more info PM me.
 
Naomba kuuliza hukusu makadirio ya kodi kwa mfanyabiashara anayeanza katika robotatu ya Mwaka wa mapato anakadiriwaje?
 
Back
Top Bottom