Ipi bora...kuonja au kukosa kabisa.......

ni kweli kabisa the boss huwa kuna imani hiyo ya pengine nitambadilisha awe wangu milele- unfortunately kwa wanawake walio wengi hii ni kubwa zaidi. Afadhali wanaume ambao wao wanawezakuwa na imani hii iwapo tu mwanamke anayefikiriwa hajaolewa. So kama anaye boyfriend wanaume alio wengi huwezaamua kumtokea ili ajaribu bahati yake ya kupindua mashua kuelekea upande wake. Ni vigumu kukuta mwanaume anayemtamani mke wa mtu akafanya hivyo kwa nia ya kumpindua mwenye mashua bali anafanya hivyo ili tu ashee na mwenye mashua kama free rider kasia ashike mwenye mashua yeye ah ajivinjari na mashua -ndio maana ya msemo wa wanawake walioolewa hawana gharama. Ni ngumu sana kwa mwanaume anayetoka na mke wa mtu kuja kumwoa na kumweka ndani kama ataachika kwa mumewe- wengi huwa wanajiuliza kama nilifanikiwa kumrubuni akaondoka kwa mumewe nina uhakika gani kama kwangu hatarubuniwa pia na mtu mwingine?

Ila kwa wanawake walio wengi ni rahisi sana kukuta mtu anakwenda kwa mume wa mtu na kujibidiisha ili tu awe naye (haijalishi kama kaoa) imani kubwa ni kuwa nitamnjonjoisha hadi amwache mkewe wa ndoa na kunioa mimi. Nadhani hapo ndo tunapotofautiana na wanaume wengi.

But mimi nadhani ni vema kama unahisi uhusiano unaotamani kuuanzisha hautadumu ni bora ukauepuka kabisa.

bora kuacha na kukaa mbali
 
If u are a risk taker and you want to increase your portfolio on conquests - go for it, but that also means you do not have character...why would one enter into an affair ya aina hiyo and you know the outcome(unless u r in denial). Kuna mambo 3 naogopa maishani...Mwenyezi Mungu, Serikali na Mke/Mme wa mtu.
 
labda kwa kuwa wewe ni askofu unaweza usielewe..
Kwa wengine mapenzi ni upofu....bila kujali ni mke wa mtu au mume wa mtu....

Kabisa...na ndoa za waliomo kwenye ndoa zimeshavunjika mara nyingi tu ili waweze kuendelea na penzi lao.
 
Sio kuonja, we kula kabisa na kama unajua itakuwa ya mda mfupi, kula hadi ikinai...
 
Hivi unapovutiwa na mwanamke na kumtongoza.... unakuwa na Malengo gani??? Hao wa kwenye ndoa wanaotongozwa/kutongoza na wakakubaliana il hali mmoja au wote wako kwenye ndoa... wanakuwa na malengo gani??

Wanaonjana hao...
 
Back
Top Bottom