iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

Waungwana wapi hapa mjini naweza kupata huduma ya kuu unlock iphone 6 bila kutuma pesa kwa fundi wa nje
 
Hiyo sga
Alichouliza yeye ni kushare kupitia whatsapp, mkuu kujail break iPhone lazima upige ishara ya msalaba, sio kama android devies ambazo ni rahisi sana kuroot, wengi wanaojail break iPhone ni geeks lakini sio watumiaji wa kawaida kama kwenye android kila mtu siku hizi anaweza kuiroot simu yake
Mkuu hiyo shareapp lite ndiyo inayotumika kushare miziki kwenye whatsapp hata kama hujajail break ndio maana nikasem pia kama umejail break basi install whatsapp+
Binafsi nilijail break simu yangu kirahisi tu kwa kufuata maelekezo (iOs 7.1.2 kwenye iphone 4 ) ya Panguteam ambayo mtu yeyote tu anaweza kuyafuata na akafanikiwa ili mradi aelewe anachokisoma
 
Whatsapp+ iko poa ila kinachoniudhi sasa ni yale matangazo yao mpaka nimeiRemove kabisa.
 
Tatizo hilo kwa hardware linakuwa solved ila ni gharama.nimetoa iphone 2 5s na 5c,na bado nafuatilia.
 
Nilidownload turbo downloder sasa kuna baadhi ya videos nilitaka kuzitoa kwa cm yangu ili niweke kwa PC sasa kila nikikonect USB kwa iPhone ina niletee folder la IPhone nikifungua amnamo kitu ebu nisaidieni namna ya kufanya ili niweze kutoa vitu kwa iPhone kuja kwa PC
Asanteni
 
Samahan mkuu. Hiyo turbo downloder ni kwa ajili ya kupakua videos kutoka YouTube? Unaipata ktk websites au App Store?
 
Itunes acc yang inazngua i dont see na wala cwez kuweka muziki zaid ya kuona itunes u tu af chaj pia haikai sana natumia 4s! Ushauri tafadhali
 
Naweza kupata tubemate ktk iPhone? Kwa ajili ya kupakuwa video za youtube
 
Back
Top Bottom