wakuu natumia iPhone 3G,nimekwama kabisa,kioo kime-stuck,nashindwa kufanya chochote,naomba munisaidie wajameni.....!!!!!nawasilisha.......
bonnyeza botton ya home na ya kuwashia sim yako kwa pamoja kwa dakika kadhaa mpaka screez iwe black then washa iphone yako tatizo kushney..... Ndivyo nifanyavyo mimi....
Rudisha jibu kama utakuwa umesaidika...
Loh....nashukuru sana mkuu,moyo ulinipaa wacha,nashukuru nimefanikiwa.Ubarikiwe
Nisaidieni software ya kutransfer files from pc to iphone
download
Apple - iTunes - Everything you need to be entertained.
Utakuwa umepata jibu lako .Sema ukisha pata jibu tujue pa kuanzia kama kazi bado
Natanguliza shukraniiii