iphone 4s vs Sonyericsson Experia S

Usikalili sio bora simu simu bora yenye kile unachokitaka, A 290 ni simu simple sana ila ina line tatu powered by 1500 mAh only hizo sifa ndio zimenivutia, smart phone nimeagiza SGS 3

Mimi nilidhani tunalinganisha simu za kiwango kimoja, kama mada ya mdau hapo juu!
 
ingia www.gsmarena.com hapo utaangilia features za simu tofauti tofauti na comment za watu wanaozitumia, mimi imenifungua sana na sibabaishwi na jina la simu ama widespread dissemination.Pale unaona na unafanya maamuzi sahihi.
 
Kiukweli sony ericsson wametulia ninarukaruka ila sony ericsson ndiyo nyumbani. Uniambii kitu kwenye sony ericsson mpaka marafiki zangu wanaona kama nimerogwa na kitu.
 
nyie wala msipate shida kugoogle wala nini kumbe simu mnazo wenyewe si mzitest?

-Nendeni sehemu yenye wireless conect simu zote mbili fungueni website moja mnaclick ok kwa pamoja itayofungua kwanza inapata point upande wa browser nzuri na speed ya internet.

-ekeni meza mbele wote mpige itakayotoa picha nzuri ina camera.

Rudieni hivo hivo kwa kila features video, sauti, kucheza game moja, na mtapata real comparison maana kuna kampun zina dual core feki


Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom