Iphone 4s vs Nokia N9

yah technically nokia n9 ipo juu atakaechagua iphone kapenda jina tu. N9 ni mara 2 kwa hio iphone ki ram, storage, operating system, camera
 
yah technically nokia n9 ipo juu atakaechagua iphone kapenda jina tu. N9 ni mara 2 kwa hio iphone ki ram, storage, operating system, camera
wanasema 'jambo usilolijua ni kama ucku wa Giza',,, Camera ya Iphone 4S ina 8Megapixel sawa na hiyo nokia n9 sema tu Video Capturing ya Iphone ni HD 1080p@30fps nokia ni 720p@30fps, operating system ya IPhone ni IOS 5 inayoongoza kwa ubora kwa sasa, screen size ya IPhone 4S ni kidogo kidogo kuliko cha nokia n9 lakini pixel density ya kioo cha IPhone ni kubwa kuliko nokia n9 at ~330 ppi wakati n9 ni ~251 ppi..Processor Speed ya IPhone 4S ni 1GHz sawa na nokia n9 sema tu processor type ya 4S ni dual core kama laptop yako, ukija upande wa Bluetooth, IPhone 4S ina Bluetooth 4.0 wakati n9 ina 2.1, kabla sijasahau kitu kinachoitwa 'SIRI' natural language commands and dictation !!!! ,,,

hata kwa Iphone 4 vs Nokia n9 naona bora IPhone 4!!!!!!!!! :lol::lol:
 
4 realy,ukubali au ukatae technicaly iphone4 ni ndogo kwa nokia n9..kumbuka ukiongelea kitu technically hufanyi comparison ya kitu kimojakimoja bali tunaongelea overall..
Nokia n9 inaspecfctn kubwa labda hyo iphne5 ije kutoka ndo iipiku..
Halaf kumbuka hii si symbian ni new os iliyokuwa modified tokea maemo ya n900..
 
Hiyo overall unamaanisha nini mkuu kwani twajua ukiangalia kimoja kimoja ndio mwisho wa siku waweza kusema overall nani mbabe...
Kihalisia nokia wameachwa nyuma sana na iphone...atleast taja samsung galaxy s2...umeona programe ya siri kwenye iphone 4s? ni balaa mkuu
 
acha ubishi mkuu jibu hoja kwa hoja acha siasa za magamba na cdm tupo kwenye tekelinalokujia uku atupigi propaganda umeona ulivyojibiwa na ww lete vigezo uciongelee mapenzi yako binafsi na nokia iphone maneno mengine
 
ukubwa wa cmu ni prcssr,ram,storage n its graphics but also minor spec ar considered i mean prmry n sec camera,wlan,3g,gprs,edge,battery n os used!
K,2anze kucompare thn uangalie mwenyewe tena iphone 4s co 4
IPHONE 4S(Nokia n9)
Cpu 1ghz dual(1ghz)
Ram 512mb(1gb)
Storage-internal 16-64gb(16-64gb)
Screen 16m color tft(16m amoled)
Screen size 3.5inch(3.9inch)
Gprs n edge class 12(clas 33)
3g hsdpa 14.4(same)hsupa 5.8(5.7mbps)
Wlan (same)
Bluetooth 4.0(2.1)
Camera 8m(8m)
battery 200h 3g(450h 3g)
os ios(meego)

meego inasuport had app za android 2.3!
Luk crfl hzo spec halaf ufanye comparison mwenyewe, angalia specification hzo thn sema kaka.
 
acha ubishi mkuu jibu hoja kwa hoja acha siasa za magamba na cdm tupo kwenye tekelinalokujia uku atupigi propaganda umeona ulivyojibiwa na ww lete vigezo uciongelee mapenzi yako binafsi na nokia iphone maneno mengine

iphone 4s vs nokia n9
ram,screen size,battery na os used ni nzur kwa kwe2 tanzania(nokia n9 ni nzur)
ukitaka jina la kampuni(iphone 4s nzur)
tanzania gprs na edge ndo znatumika eneo kubwa ambyo nokia n9 ina class kubwa kuliko iphone 4s wakat 3g ambyo unaipata kwenye majiji ye2 tu zpo sawa nokia n9 na iphone 4s
camera ni sawa na screen colors!

Aya drphone na wewe bisha kwa fact!
 
Hii ndio nokia yako mkuu lakini jaribu kulinganisha na Iphone uone..

2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100
Announced2011, June
StatusAvailable. Released 2011, September

GENERAL
Dimensions116.5 x 61.2 x 12.1 mm, 76 cc
Weight135 g

SIZE
TypeAMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Size480 x 854 pixels, 3.9 inches (~251 ppi pixel density)
- Gorilla glass display
- Anti-glare polariser
- Multi-touch input method
- Proximity sensor for auto turn-off
- Accelerometer sensor for UI auto-rotate

DISPLAY
Alert typesVibration; MP3, WAV ringtones
LoudspeakerYes
3.5mm jackYes
Dolby Mobile sound enhancement; Dolby Headphone support

SOUND
PhonebookPractically unlimited entries and fields, Photocall
Call recordsYes
Internal16/64 GB storage, 1 GB RAM
Card slotNo

MEMORY
GPRSClass 33
EDGEClass 33
3GHSDPA, 14.4 Mbps; HSUPA, 5.7 Mbps
WLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n, Wi-Fi hotspot
BluetoothYes, v2.1 with A2DP, EDR
Infrared portNo
USBYes, microUSB v2.0

DATA
Primary8 MP, 3264x2448 pixels, Carl Zeiss optics, autofocus, dual LED flash, check quality
FeaturesGeo-tagging, face detection, touch-focus
VideoYes, 720p@30fps, check quality
SecondaryYes

CAMERA
OSMeeGo OS, v1.2 Harmattan
CPU1GHz Cortex A8 CPU, PowerVR SGX530 GPU, TI OMAP 3630 chipset
MessagingSMS (threaded view), MMS, Email, Push Email, IM
BrowserWAP 2.0/xHTML, HTML5, RSS feeds
RadioNo
GamesAngry Birds Magic (NFC), Galaxy on Fire 2, Real Golf 2011; downloadable
ColorsBlack, Cyan, Magenta
GPSYes, with A-GPS support; Ovi Maps
JavaYes, MIDP 2.1
- MicroSIM card support only
- SNS integration
- Active noise cancellation with dedicated mic
- Digital compass
- TV-out
- NFC support
- Dolby Digital Plus
- MP3/WAV/eAAC+/WMA/FLAC player
- MP4/H.264/H.263/WMV player
- Document viewer (Word, Excel, PowerPoint, PDF)
- Video/photo editor
- Voice memo/command/dial
- Predictive text input (Swype)

FEATURES
Standard battery, Li-Ion 1450 mAh (BV-5JW)
Stand-byUp to 380 h (2G) / Up to 450 h (3G)
Talk timeUp to 11 h (2G) / Up to 7 h (3G)
Music playUp to 50 h

BATTERY
Price group
pg8.gif

MISC
 
Hii hapa Iphone...

2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
CDMA 800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100
CDMA2000 1xEV-DO
Announced2011, October
StatusAvailable. Released 2011, October

GENERAL
Dimensions115.2 x 58.6 x 9.3 mm
Weight140 g

SIZE
TypeLED-backlit IPS TFT, capacitive touchscreen, 16M colors
Size640 x 960 pixels, 3.5 inches (~330 ppi pixel density)
- Scratch-resistant oleophobic surface
- Multi-touch input method
- Accelerometer sensor for auto-rotate
- Three-axis gyro sensor
- Proximity sensor for auto turn-off

DISPLAY
Alert typesVibration, MP3 ringtones
LoudspeakerYes
3.5mm jackYes

SOUND
PhonebookPractically unlimited entries and fields, Photocall
Call records100 received, dialed and missed calls
Internal16/32/64 GB storage, 512 MB RAM
Card slotNo

MEMORY
GPRSYes
EDGEYes
3GHSDPA, 14.4 Mbps; HSUPA, 5.8 Mbps
WLANWi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot
BluetoothYes, v4.0 with A2DP
Infrared portNo
USBYes, v2.0

DATA
Primary8 MP, 3264x2448 pixels, autofocus, LED flash
FeaturesTouch focus, geo-tagging, face detection
VideoYes, 1080p@30fps, LED video light, video stabilization, geo-tagging
SecondaryYes, VGA

CAMERA
OSiOS 5
CPU1 GHz dual-core ARM Cortex-A9 processor, PowerVR SGX543MP2 GPU, Apple A5 chipset
MessagingiMessage, SMS (threaded view), MMS, Email, Push Email
BrowserHTML (Safari)
RadioNo
GamesDownloadable, incl. motion-based
ColorsBlack, White
GPSYes, with A-GPS support
JavaNo
- MicroSIM card support only
- Scratch-resistant glass back panel
- Active noise cancellation with dedicated mic
- Siri natural language commands and dictation
- iCloud cloud service
- Twitter integration
- Digital compass
- Google Maps
- Audio/video player and editor
- Image editor
- Voice command/dial
- TV-out

FEATURES
Standard battery, Li-Po 1432 mAh
Stand-byUp to 200 h (2G) / Up to 200 h (3G)
Talk timeUp to 14 h (2G) / Up to 8 h (3G)
Music playUp to 40 h

BATTERY
 
mtu anayeishabikia Nokia mwaka huu haja update operating system yake kuelewa technologia inapoenda. Kiufupi nokia imekwea kisiki walikuwa wamezoea mteremko, walikuwa moto sana miaka ya nyuma kwavile walishazoea kutoa services nusu nusu. Mi nakumbuka 2008 Nokia walikuwa na sijui 5megapixel au 8 kwa N9 few of my friends had them. Apart from that nikiangalia simu kipindi kile na kokompea na iPhone ilivyokuwa 2008 na apps na design nokia ilikuwa ni kama korokoro mtoto alilolichoka. The camera was good nitawapa sofa hapo lakini kulikuwa hakuna kingpin tena kwa hiyo simu. Since iPhone got in the game kila mtengeneza simu anaiga tuu kile iPhone wanaleta kwa soko. So my advice you either join the best team or join the haters club and still you will look up to the iPhone like your heading either you like it on not nothing sensational like iPhone in mobile computing. With the new iPhone Siri is the best feature ever even the adroid army is loosing their frontline geeks to SIRI…. go figure…… and I tell you what in adroid there was a feature like siri……….. the problem wasn't working like was suppose too. Nokia they are not even kwenye rada ya mshindani wamaana. Soko la smartfones linaendeshwa na apps hauna apps za maana hiyo ni limit ya user experience, Mwishowe unakosa wateja. Na ujue N9 silo kwa ajili ya walalahoi siye ni kwa ajili ya ile top class sasa wakishindwa huko mwishowe hautapata sapoti ukinunua manake baada ya wiki kazaa lazima watoe kitu kingine kiendelea kufukuzia wanaoongoza soko.
I wish nokia well by the way in their struggle to innovate.
 
Mkuu nimejaribu kupost specs za simu zote japo bahati mbaya layout ya post ya iphone imekaa tenge...angalia jambo moja baada ya jingine then draw conclusion isiyo bias...
 
Hii ndio nokia yako mkuu lakini jaribu kulinganisha na Iphone uone..

2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1700 / 1900 / 2100
Announced2011, June
StatusAvailable. Released 2011, September

Dimensions116.5 x 61.2 x 12.1 mm, 76 cc
Weight135 g

TypeAMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Size480 x 854 pixels, 3.9 inches (~251 ppi pixel density)
- Gorilla glass display
- Anti-glare polariser
- Multi-touch input method
- Proximity sensor for auto turn-off
- Accelerometer sensor for UI auto-rotate

Alert typesVibration; MP3, WAV ringtones
LoudspeakerYes
3.5mm jackYes
Dolby Mobile sound enhancement; Dolby Headphone support

PhonebookPractically unlimited entries and fields, Photocall
Call recordsYes
Internal16/64 GB storage, 1 GB RAM
Card slotNo

GPRSClass 33
EDGEClass 33
3GHSDPA, 14.4 Mbps; HSUPA, 5.7 Mbps
WLANWi-Fi 802.11 a/b/g/n, Wi-Fi hotspot
BluetoothYes, v2.1 with A2DP, EDR
Infrared portNo
USBYes, microUSB v2.0

Primary8 MP, 3264x2448 pixels, Carl Zeiss optics, autofocus, dual LED flash, check quality
FeaturesGeo-tagging, face detection, touch-focus
VideoYes, 720p@30fps, check quality
SecondaryYes

OSMeeGo OS, v1.2 Harmattan
CPU1GHz Cortex A8 CPU, PowerVR SGX530 GPU, TI OMAP 3630 chipset
MessagingSMS (threaded view), MMS, Email, Push Email, IM
BrowserWAP 2.0/xHTML, HTML5, RSS feeds
RadioNo
GamesAngry Birds Magic (NFC), Galaxy on Fire 2, Real Golf 2011; downloadable
ColorsBlack, Cyan, Magenta
GPSYes, with A-GPS support; Ovi Maps
JavaYes, MIDP 2.1
- MicroSIM card support only
- SNS integration
- Active noise cancellation with dedicated mic
- Digital compass
- TV-out
- NFC support
- Dolby Digital Plus
- MP3/WAV/eAAC+/WMA/FLAC player
- MP4/H.264/H.263/WMV player
- Document viewer (Word, Excel, PowerPoint, PDF)
- Video/photo editor
- Voice memo/command/dial
- Predictive text input (Swype)

Standard battery, Li-Ion 1450 mAh (BV-5JW)
Stand-byUp to 380 h (2G) / Up to 450 h (3G)
Talk timeUp to 11 h (2G) / Up to 7 h (3G)
Music playUp to 50 h

Hii hapa Iphone...

2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900
CDMA 800 / 1900
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1900 / 2100
CDMA2000 1xEV-DO
Announced2011, October
StatusAvailable. Released 2011, October

Dimensions115.2 x 58.6 x 9.3 mm
Weight140 g

TypeLED-backlit IPS TFT, capacitive touchscreen, 16M colors
Size640 x 960 pixels, 3.5 inches (~330 ppi pixel density)
- Scratch-resistant oleophobic surface
- Multi-touch input method
- Accelerometer sensor for auto-rotate
- Three-axis gyro sensor
- Proximity sensor for auto turn-off

Alert typesVibration, MP3 ringtones
LoudspeakerYes
3.5mm jackYes

PhonebookPractically unlimited entries and fields, Photocall
Call records100 received, dialed and missed calls
Internal16/32/64 GB storage, 512 MB RAM
Card slotNo

GPRSYes
EDGEYes
3GHSDPA, 14.4 Mbps; HSUPA, 5.8 Mbps
WLANWi-Fi 802.11 b/g/n, Wi-Fi hotspot
BluetoothYes, v4.0 with A2DP
Infrared portNo
USBYes, v2.0

Primary8 MP, 3264x2448 pixels, autofocus, LED flash
FeaturesTouch focus, geo-tagging, face detection
VideoYes, 1080p@30fps, LED video light, video stabilization, geo-tagging
SecondaryYes, VGA

OSiOS 5
CPU1 GHz dual-core ARM Cortex-A9 processor, PowerVR SGX543MP2 GPU, Apple A5 chipset
MessagingiMessage, SMS (threaded view), MMS, Email, Push Email
BrowserHTML (Safari)
RadioNo
GamesDownloadable, incl. motion-based
ColorsBlack, White
GPSYes, with A-GPS support
JavaNo
- MicroSIM card support only
- Scratch-resistant glass back panel
- Active noise cancellation with dedicated mic
- Siri natural language commands and dictation
- iCloud cloud service
- Twitter integration
- Digital compass
- Google Maps
- Audio/video player and editor
- Image editor
- Voice command/dial
- TV-out

Standard battery, Li-Po 1432 mAh
Stand-byUp to 200 h (2G) / Up to 200 h (3G)
Talk timeUp to 14 h (2G) / Up to 8 h (3G)
Music playUp to 40 h

kwa hizi tu comparison bado Iphone iko juu bwana..
 
Huyu kamanda ni mbishi. Mimi nina Nokia N8 Original from Finland,na ina miezi miwili tu Pia Samsung Galaxy Tab 10.1, ukweli ninajuta gharama "nilizotupa" kununua hii Nokia, ninasubiri nikienda huko kijijini niitoe kama zawadi. Yaani inshort naona aibu kumuuzia mtu wa kisasa,anayehitaji kuinjoy browsing na mambo matamu ya mtandao. mind you, N8 haina tofauti sana na N9. na pia kuna baadhi ya mambo hii N8 ipo juu ya N9,mfano Camera 12 mp, memory size 16Gb na card slot up to 32Gb,.. pia kwa comparison zangu na Galaxy niliyonayo (achilia mbali shughuli pevu ya IOS) bado hata Samsung galxy ipo juu!!!!! Habari ndo hiyo,and proven..
 
4 realy,ukubali au ukatae technicaly iphone4 ni ndogo kwa nokia n9..kumbuka ukiongelea kitu technically hufanyi comparison ya kitu kimojakimoja bali tunaongelea overall..
Nokia n9 inaspecfctn kubwa labda hyo iphne5 ije kutoka ndo iipiku..
Halaf kumbuka hii si symbian ni new os iliyokuwa modified tokea maemo ya n900..
agalia overall best Specs kwa hizi mbili,,alafu kumbuka tunaongelea IPhone 4S na sio 4,,,,mtu mtaalam alishajua simu ipi imesmama hata kabla hii thread haijaanzishwa' :poa:poa

anaefahamu smartphones kiundani ataelewa kwanini IPhone ni ya ukweli zaidi, ni bora kutumia hata IPhone 3GS yenye uwezo wa kuSupport IOS 5 kuliko kutumia hizo Nokia zinazoishiwa na staili kwa sasa',,, :ballchain::ballchain:

2hi4l11.jpg

bdkup4.jpg

nl1snb.jpg
 
agalia overall best Specs kwa hizi mbili,,alafu kumbuka tunaongelea IPhone 4S na sio 4,,,,mtu mtaalam alishajua simu ipi imesmama hata kabla hii thread haijaanzishwa' :poa:poa

anaefahamu smartphones kiundani ataelewa kwanini IPhone ni ya ukweli zaidi, ni bora kutumia hata IPhone 3GS yenye uwezo wa kuSupport IOS kuliko kutumia hizo Nokia zinazoishiwa na staili kwa sasa',,, :ballchain::ballchain:

2hi4l11.jpg

bdkup4.jpg

nl1snb.jpg

nimekubali mkubwa!
I check t crfuly,ts truth!
 
Apple iPhone 4S
NOKIA N9 APPLE IPHONE 4S
Usability
Display Resolution 480x854 px 640x960 px
Display Color 16M 16M
Display Technology AMOLED TFT
Input / Navigation Touch Screen Display Touch Screen Display
Stand- by Time 380h 200h
Talk Time 11h 14h
Vibration Available Available
Ringtones MP3
Surround Sound
Polyphonic MP3
Polyphonic
Hardware
Processor Speed 1GHz 1GHz Dual-core
RAM 1GB 1GB
Internal Memory 16GB 16GB
Sensors Proximity Sensor
Accelerometer
Gesture Control
Proximity Sensor
Accelerometer
Camera Resolution 8 Megapix 8 Megapix
Camera Flash LED LED
Video Recording Available Available
Video Telephony Available Available
Battery 1450 mAh 1420 mAh
Other Functions Digital Compass Digital Compass
Software
Operating System Linux OS iOS X
Java MIDP 2.0
Connectivity
Compatible Networks
HSDPA 1700
HSDPA 1900
HSDPA 2100
HSDPA 850
HSDPA 900
GSM 1800
GSM 1900
GSM 850
GSM 900
HSDPA 1900
HSDPA 2100
HSDPA 850
HSDPA 900
CDMA 1900
CDMA 800
GSM 1800
GSM 1900
GSM 850
GSM 900
Bluetooth v2. 0 v4. 0
GPRS Class 33 Class 10
EDGE Class 33 Class 10
TV Out HDMI (TV Out) HDMI (TV Out)
WLAN Wi- Fi 802. 11b /g Wi- Fi 802.11 b/g
USB v2. 0 v2. 0
Audio Output 3.5 mm Audio Connector 3.5 mm Audio Connector
Positioning System Integrated GPS Integrated GPS
CDMA2000 1xEV- DO
NFC Available
Ergonomics
Dimensions 116.5 x61. 2x12 .1mm
4.59 " x 2. 41" x 0.48 " 115.2 x58. 6x9 .3mm
4.54 " x 2. 31" x 0.37 "
Height 116.5 mm (4. 59") 115.2 mm (4. 54")
Width 61.2 mm (2. 41") 58.6 mm (2. 31")
Depth 12.1 mm (0. 48") 9.3 mm (0. 37")
Weight 135g (4 .76oz ) 140g (4 .94oz )
Material Scratch-Resistant Glass
Form Factor Candy Bar Candy Bar
 
Back
Top Bottom