Iphone 4s, 16gb

mfocbsjut

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
473
246
Nauza iphone 4s ya 16 gb,ina ios 5.1.1 bei tsh 500,000. Iko fresh kabisa, haina scratches hata kidogo. Tatizo network iko locked so line za bongo hazisomi.Inaweza kuwa unlocked ila hela ya ku unlock sina. Kama uko interested ni pm, au piga 0717311420.
 
Nauza iphone 4s ya 16 gb,ina ios 5.1.1 bei tsh 500,000. Iko fresh kabisa, haina scratches hata kidogo. Tatizo network iko locked so line za bongo hazisomi.Inaweza kuwa unlocked ila hela ya ku unlock sina. Kama uko interested ni pm, au piga 0717301520.

Hanunui mtu kwa bei hiyo! Ku unlock ni 300 au 250 bora uuze 400 au 350
 
Back
Top Bottom