iphone 4

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
422
610
Wadau naomba mnieleze jinsi ya kuweka miziki kwenye iphone4 na je hapa bongo original iphone4 ni bei gani?
 
Funga program ya itunes kwenye PC yako ndio ya kuwekea miziki kwenye simu zote za iphone pamoja na ipod,kwa hapa bongo zinauzwa kuanzia dola 1000 mlimani city.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom