iphone 3gs iccid no sim

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,311
wakuu habari za kazi, Natumia simu aina ya IPHONE 3GS sasa kuna file la ICCID halipo na inaleta error ya NO SIM CARD and nadhan ilo Tatizo linatokana na ilo file la ICCID please kama kuna mtu yyte anajua jins ya kufix hii kitu naomba anisaidie, au kama kuna mtu anaemjua fundi ambae anaweza kutengeneza
 
Back
Top Bottom