wanajamii changamkieni simu hiyo ipo poa sana black colour
Nahitaji hyo kwa 300,000 call me on 0713079282
300,000 kamili broMkuu hii makitu nikuletee kwa 350k cash?
Same specifications as above!
300,000 kamili bro
Charger ipo? Haina problem?300,000 kamili bro
Kitu inaita hii mkuu, we mwenyewe unajua utopia deal poa tu!
Actually ndo nayoitumia hapa. Nataka kununua kitu ingine, chini ya hapo sitoweza mkuu!
Kitu inaita hii mkuu, we mwenyewe unajua utopia deal poa tu!
Actually ndo nayoitumia hapa. Nataka kununua kitu ingine, chini ya hapo sitoweza mkuu!
Charger ipo? Haina problem?
Umefanya jailbreak?
Poa ukitaka kuuza kwa 300,000 utanipigia 0713079282
Nina bold 9700 unaongezea ngapi?Mkuu we sema Kama una BB tunayoweza kubadilishaba kwa utaratibu niambie tu!
ongeza kidogo mkuu tupige biashara