Ipe maneno picha ya JK akiwa Benki Kuu Dar

yes ...kwa wale tuliodhani JK ni mtu wa mzaa leo kaamua kuwa mkali na hawa jamaa inavyoonyesha!

Inabidi awe makini ajue Pinda hachelewi kuangua kilio hadharani bila ata aibu,chezea mtoto wa mkulima wewe!
 
mbowe321.jpg
nani anasema mdomo wangu ni mfupi oneni sasa.
 
Hakuna neno la kuipa,,, ila Implication ni kuwa Mizengo Pinda hata akiambiwa afute viatu vya JK atakubali maana ametokelezea ki kujikomba kujikomba hivi...

....Hajamzidi Prof Magembe, hapa Magembe anaonekana ndio anaonekana ni mtu wa kujikomba hasa....
 
JK: Hivi we Mgimwa wewe, toka nikuteue waziri wa fedha umefanya kitu gani hasa? Shillingi yetu inashuka thamani kila siku (dhidi ya dola) we upo tu na mikoti koti yako hiyo na wala hushituki. Sasa bwana ni hivi nakupa mwezi mmoja kama shilingi yetu bado nitaendelea kudorora nakumwaga.MGIMWA: Aaah mzee, nionee huruma, siunajua yule mnyasa yule wa Kilosa alivyoifisadi hii wizara. Bado natafuta pa kuanzia. Mambo yatakuwa mazuri tu, mzee!.
Mbona maoni yako ni kinyume na hali halisi kwa sasa kwani shilingi inapanda tofauti na wakati wa nyuma
 
Ukiangalia kwa makini utabaini mambo mawili; Aidha kitu anachoongea hakieleweki (angalia muonekano wa sura kwa Mhe Samweli Sita na Dk. Mgimwa) ama anachoongea ni suala la mzaha ama utani kama ilivyo kawaida yake (angalia muonekano wa sura kwa Mhe. Pinda japo imejificha na Prof. Maghembe).

Haiwezekani kabisa Kikwete kuwa serious kwa sasa ikiwa imebaki takriban miaka mitatu tu amalize ngwe yake ilhal ameshindwa kufanya hivyo kwa kipindi cha miaka saba alichokaa madarakani. Kwake sasa anaona liwalo na liwe lakini ameshaitwa Mhe. Rais kama alivyokuwa amedhamiria.
Duh umenifanya nicheke mpaka basi umetisha vibaya sana mkuu
 
Jk:hii tabia ya kubana matumizi acheni kabisa.kesho kutwa 2015 mimi naondoka mtajijua. Halafu we waziri wa fedha acha vitu vyako yule mkulo kashaenda zake. Mmwache.
Maghembe:ehh mh
Pinda:Niliwaambia hawa.
Sitta:hili jamaa fisadi kweli kweli.. Anasema nini?
 
Sidhani kama amemkasirikia! Maana huyo anayeonekena anafokewa nae kwa lugha ya picha inaonekana anaongea/anajibu.

Yaani Rais aongee na wewe uongee! Tena akiwa anakufokea! Kama ni kweli basi hiyo picha inaonyesha ni jinsi gani Raisi asivyo-ogopewa.

Nadhani walikuwa wanajadili kitu tu (kama ni cha maana au ni cha utani hayanihusu)
 
INAONEKANA ALIENDA KUPIGA MKWARA ILI HAZINA WATOE FEDHA ZA UCHAGUZI NEC,NDIO MAANA HATUNA MSHAHARA HADI LEO.:spy:
 
hivi we mgimwa umeshaweka pesa kwenye akaunti ya chama ya uchaguzi?hujui ndo nimekuteua na naweza kukupiga chini? Ila maghembe kakaa kama zuzu kwel,6 kama anataka kusema mkuu hunion?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom