Ipe maneno picha ya JK akiwa Benki Kuu Dar

yes ...kwa wale tuliodhani JK ni mtu wa mzaa leo kaamua kuwa mkali na hawa jamaa inavyoonyesha!
 
Hakuna neno la kuipa,,, ila Implication ni kuwa Mizengo Pinda hata akiambiwa afute viatu vya JK atakubali maana ametokelezea ki kujikomba kujikomba hivi...
 
Ukiangalia kwa makini utabaini mambo mawili; Aidha kitu anachoongea hakieleweki (angalia muonekano wa sura kwa Mhe Samweli Sita na Dk. Mgimwa) ama anachoongea ni suala la mzaha ama utani kama ilivyo kawaida yake (angalia muonekano wa sura kwa Mhe. Pinda japo imejificha na Prof. Maghembe).

Haiwezekani kabisa Kikwete kuwa serious kwa sasa ikiwa imebaki takriban miaka mitatu tu amalize ngwe yake ilhal ameshindwa kufanya hivyo kwa kipindi cha miaka saba alichokaa madarakani. Kwake sasa anaona liwalo na liwe lakini ameshaitwa Mhe. Rais kama alivyokuwa amedhamiria.
 
JK: Hivi we Mgimwa wewe, toka nikuteue waziri wa fedha umefanya kitu gani hasa? Shillingi yetu inashuka thamani kila siku (dhidi ya dola) we upo tu na mikoti koti yako hiyo na wala hushituki. Sasa bwana ni hivi nakupa mwezi mmoja kama shilingi yetu bado nitaendelea kudorora nakumwaga.

MGIMWA: Aaah mzee, nionee huruma, siunajua yule mnyasa yule wa Kilosa alivyoifisadi hii wizara. Bado natafuta pa kuanzia. Mambo yatakuwa mazuri tu, mzee!.
 
...utani tu..mbona waziri mkubwa kama anacheka vile!!
Jamaa hacheki bali sura yake ndivyo ilivyo huwezi kui'define. akicheka kama analia, akilia kama anacheka, akishangaa ndio anakuwa kama anazomea.
 
  • Thanks
Reactions: ral
nawaambia hawa jamaa sijui kwa nini tulijisahau hadi wakaanzisha umeme wa mgao wa kujitakia
 
magembe atafutiwe notebook.hiyo aliyoshika sidhani kama inatosha ama inafaa kubeba nondo za Baraza la Mawaziri na Maagizo mengine ya Rais
 
Inflation inaleta maneno maneno we unauza sura kama hii ni wizara ya maji au afrika mashariki?
 
mbowe321.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom