Ipe maneno picha hii

Dah sijui mpiga picha ameichukua hii? Hii itanirusha sana hii! Aku likibuyu lenywe hili wacha nilishushe haraka lisije ni haribia lemba langu!
 
Hii picha inamaanisha kuwa,tunatakiwa kuwa waafrika wapya,yaani mila ziendelee kuwa za kiafrika lakini lugha iwe kingereza.Sasa hapa si ni sawa na kumvisha mmasai lubega na silaha umpe bunduki!!
 
Picha mbona iko kama kawaida hii hapa napaste tena;



Truely African pride though English is not our first language especially at Primary School why not ONGEA KISWAHILI FASAHA??<!-- google_ad_section_end -->
 
IMG_1611-1.JPG Jamani mbona mie naiona hii PICHA
 
sema tuutukuze utamaduni wetu...( naona kwenye mti kumeandwa speak English):whip:
attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom