Ipe maneno picha hii:

"Nenda, usirudie lakini pitia pale nyumbani uache kuku mmoja kwa mke wangu mama Mwita." ...

" Mama Mwita, anza kusonga ugali mboga inakuja."
Mkulu hiyo avatar yako jamaa alikula mapera nini???haaaaaaaa
 
maliza kuongea siye twende.
unatuchelewesha wenyewe tulikua katika kufwaudu kijotojoto.
 
Wahisha abiria wako, ukirudi pita kulee...unione!.
Abiria wanasmile!.

SIO ASKARI WA TZ HUYO..

WA TZ NI HUYU..HAPA..

ASK; HAROO...SIMAMA..HAPO HAPO....
DEREV; SAWA AFANDE...
ASK; HIVI MBONA UNA VUNJA SHERIA ZA BARABARANI ZA RI JAMUHURI RA MUUNGANO RA TANZANIA?...
DEREV; NISAMEE AFANDE...
ABIRIA WA KIKE..; KAKA AFANDE TU SAMEEHE
ABIRIA WA KIUME (AKIMNONG'ONEZA DEM) ...ooya waache wamalizane wenyewe..
ASK; WEWE KIDUME ACHAKUTONGOZA HAPA HUJUI NIPO KAZINI..NAREO NINA WAAREST VIBAYA SANA ....MISHIKAKI NI HUKO BAAA SIO KWENYEBARABARA....SASA TUNA KWENDA KITUONI OYSTERBAY (tukio lime fanyika mbezi luis, ilimradi mazingira ya kae sawa)...AU MFUATE MASHARTI YANGU....NDIO NIWA ACHIE WAARIFU WAKUBWANYIE..
DEREV; SEMA TU AFANDE TU MALIZANE...
ASK; NIPE KADI YA PIKIPIKI AU RESENI YAKO YA UDEREVA WA PIKIPIKI..(kumbuka bongo asilimia kubwa dreva wa bodaboda hawana leseni, yaani dereva ana zidi kua na hali ngumu)...
DEREV; KADI IPO KWA BOSI..PAMOJA NA LESENI YANGU...
ASK; FANYA HIVI NENDA HAPO MBERE KIDOGO UTA MKUTA FUNDI VIATU..SAWA?
DEREV; NDIO AFANDE..
ASK; UMUACHIE SHIRINGI ERFU KUMI..UMWAMBIE NI YA AFANDE MARUA WA MBEZI ASIJE AKA CHANGANYA NA HESABU YA AFANDE MARWA WA BUGURUNI.. TENA MWABIE NI YURE MNENE MWEUSI NA ANDIKE KWENYE DAFTARI DOGO..ASICHANGANYE NA WENGINE REO TAREHE SERASINA NA MOJA JUMAPIRI PASAKA SITAKI MCHEZO... NAWEWE KIDUME HUJA VAA HERIMETI AKIKISHA UNA ACHA KUKU HUYO WAKATI ARIENONA PASAKA HIHI RAZIMA ARIWE WAKIENYEJI BWANA..HARAFU UACHE NA HIZO NYAYA ZIRIZOMO KWENYE RAMBO...MAZIWA KUNYWA MWENYEWE....
NA WEWE DEMU UMUA CHIE YURE FUNDI HAMBA YAKO YASIMU NITA KUTAFUTA KWA WAKATI WANGU... HAYA POTEENI...
DEREV NA ABIRIA KWA PAMOJA; ASANTE AFANDE KWA MSAADAWAKO...
 
Askari Trafiki huwa tunaacha kutumia akili tunapoona mtu analeta ulaji mulaah! Lete kipato changu haraka!!!
 
Unanisikia wewe dereva kwa kosa la kubeba zaidi ya abiria moja kwenye pikipiki nitakuachia tu ukikata kitu kidogo
 
kuku umepakia wengi kwa wakati mmoja kwenye pikipiki....acha kuku hapa, fikisha abiria safari
 
Haroooo, nimekuaresti....kwanza umebeba mishikaki piri, hamuna maherimeti vichwani, tatu emepakia mifugo na watu, ine (nne) wewe mama, huyu mjamaa akifazaika utasemaje? tano, twende kituoni.

Mama kajibu, kituoni thiendi, kwandha afande Thamweli ni kaka yangu, na wewe mwenye pikipiki thatha thikulipi maana umetuchelewesha na huyo polithi wako.
 
"Nenda, usirudie lakini pitia pale nyumbani uache kuku mmoja kwa mke wangu mama Mwita." ...

" Mama Mwita, anza kusonga ugali mboga inakuja."

Sinkala, umegonga penyewe!!!Halafu dereva wa pikipiki waonane jioni pale kijiweni kwa Werema jirani na kwa Chacha Yohana.
 
Aroooo kabra sijakuaresti kwa kosa la kuvunja sheria za geshi ra porisi, kwanza nieleze kwa nini unabeba kuku kwenye pikipiki.
 
Bila buku tano hamuondoki hapa, kwa wenye daladala nachukua tatu lakini kwa kuwa hamna helmet Nataka 5.
 
......Nasema mumevunja Sheria, mbona hutaki kusikia???

.....aiseee, weee bwana huko nyuma, huyu dereva wako anaonekana mugumu wa kutoa hera.., ebu sasa maliza wewe ....lete hera au hiyo kuku moja hapa mimi nigende, .....nyinyi mutamarizanaga wenyewe huko mbele...vinginevyo naita kamvoi ya geshi sasa hivi, waje hapa wawaharasi..na hata hizo kuku zote sasa tachukua bureee na pikipiki hampat tena tena!..
 
Usiogope Braza naweza kukupa lifti na wewe pia!! nafasi ipo ya watu watatu wengine...
 
Trafiki nao wamezidi rushwa....ukiona wanakusimamisha jua wanataka kutafuta kakosa kidogo uwahonge hapo! Kuna zile taa za kuangalia mwendo nazo ni biashara kubwa kwa hawa bandugu!Geshi,mmmh!
 
Haroo hii ni nini tena1? inaerekea hujui sheria za barabara na kuendesha pikipiki. Hebu njoo hapa pembeni tuzungumze kidogo. Mnaona ajari zinaongezeka arakini bado tu mnafanya madudu.

Hahahahaha askari wetu! bila shaka baada ya "kuzungumza pembeni Kidogo" jamaa na abiria wake waliruhusiwa kuendelea na msafara wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom