Ipe maneno picha hii

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,739
155,436
Hii picha imepigwa leo asubuhi, kumbuka jana ilikuwa siku ya uziznzi duniani.

baada ya VALENTINO.jpg
 
Mwanamke huyu hana hurumu kabisa!jamaa na mpini wake barabarani mchana kweupe!
 
Huyo atakuwa kafumaniwa. na jamaa nadhani ndio yupo kwenye harakati za kuomba asemehewe.
 
Yawezekana jamaa alikuwa anafanya mapenzi porini mwizi akaiba nguo zote akamwachia chupi tu
 
Hahahahahahaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mambo siyo mambo afu hakuna anaejishtukia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom