ipe maneno picha hii

huyu ni luhanjo akiulizwa maswali na waandishi wa habari siku alipo staafu. mia
 
narudi shamba kijijini kwetu na viji senti vyangu kama bilioni kadha
life is good (lg)
 
Inaelekea hapa waandishi walichukia sana, kwani kila anayemuangalia Luhanjo amekasirika, wanakumbuka jinsi alivyoitosa serikali na bungu na kumpendelea Jairo, sasa wanauliza je baada ya kustaafu atajibu mashitaka kwa kulidanganya taifa?
 
Inaelekea hapa waandishi walichukia sana, kwani kila anayemuangalia Luhanjo amekasirika, wanakumbuka jinsi alivyoitosa serikali na bunge na kumpendelea Jairo, sasa wanauliza je baada ya kustaafu atajibu mashitaka kwa kulidanganya taifa?
 
ninyi nyote ni mashahidi kwa utendaji wangu uliotukuka ndani ya serikali,nimeacha uadilifu wa hali ya juu ndani serikali na nje ya serikali,suala la Jairo hiyo ni ajali ya kisiasa kama ajali nyingine.mwisho tuacheni wazee tukapumzike baada ya kazi ngumu ya utmishi uliotukuka.
 
kwa tarifa yenu kama mlitegemea niumbuke kama jairo imekula kwenu,naenda zangu kula bata na hakuna hatua yoyote nitakayochukuliwa, na kama hamuamini subirini sana.
Nanyie waandishi wenye hasira na kwasabab mtakosa ya kuandika.mm ndo gamba sasa, siwezi umbuka kama jairo.
 
mkuu umenifurahisha kweli. yeye ndo gamba la ukweli.
 
Nyie waandishi wa habari mbona wambea sana? Km mnadhani mtapata cha kuuzia magazeti yenu kwangu, imekula kwenu.
Kwanza niacheni, nimestaafu kwa uadilifu mkubwa, au mmetumwa kunichafuloa jina?
Mmechelewa, ngoja nikale good time kitaa.
 
Yaani we jamaa ni nouma,umepatia kabisa kwa kuwa wakati anahojiwa mi nilikuepo na maneno alosema ni hayohayo wala hujakosea.
 
Eeee Habari ndiyo hiyooo nimestaafu baada ya siku mbili mtoto wa mama wa bibi yangu kwa mjomba ananirudisha kwa cheo.
 
Inaelekea hapa waandishi walichukia sana, kwani kila anayemuangalia Luhanjo amekasirika, wanakumbuka jinsi alivyoitosa serikali na bunge na kumpendelea Jairo, sasa wanauliza je baada ya kustaafu atajibu mashitaka kwa kulidanganya taifa?

Sure. Ukiangalia sura za hao waandishi wa habari uta note kitu kisicho cha kawaida
 
Harudi Wanging'ombe kijijini kwake ng'oo, hata Makambako tu hakanyagi, atakachoweza ni kwenda tu kusalimia kukiwa na matukio ya kuendeleza ulaji, alishajijenga dar
 
Nilishawahi fika kwake huko wanging'ombe, kweli hawezi kwenda kwa mazingira yele. Na akienda hata chukua muda mrefu maana hajazoea maisha ya kijijini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom