Ipe maneno hii picha

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Nyerere
526842_399187886788904_1792952372_n.jpg
Kikwete
 
Nyerere alichukua nchi kijana sana ndio maana anapiga jembe hapo kwa nguvu probably hapo katika 40. Picha ya kikwete hapo 60 so sitegemei ajitutumue sana na majembe.
 
mmoja mtoto wa mkulima_mwingine mtoto wa mfanyakazi(wa mjini_msanii)
 
Nyerere alichukua nchi kijana sana ndio maana anapiga jembe hapo kwa nguvu probably hapo katika 40. Picha ya kikwete hapo 60 so sitegemei ajitutumue sana na majembe.

Mbona anga zile anajitutumua hata zaidi yako, huyo msanii tu
 
Watu wanaolima au kupanda miti huku wamepiga magoti kwenye mkeka wananikera sana! Unaenda kwenye shughuli za udongo kufanya nini kama unajua umevaa suti usiyotaka ichafuke? Tangu lini koleo/chepe ikatumika kulimia? Mh! badala ya kupanda mti anajenga mti.
 
kuna jamaa anapiga kaz kwa moyo wote na kujima tena katikati ya msitu ila kuna bwana mwingne anazuga tuu yaani hata kukanyaga ardhi ya nchi yake anaona noma.kakoleo chenye hakana hata mchanga wakutosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom