Ipe maneno hii picha

NGOWILE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
454
258
attachment.php
 
Attachments

  • JK VS CHADEMA.jpg
    JK VS CHADEMA.jpg
    9.4 KB · Views: 95
"Duh! Awamu mbili? Wooooow! Either these people are really gullible or I'm just that good looking"
 
Shenzi sana! Mie nilimwambia dola bilioni mbili kwa mwezi naifanya hii nchi kama mbingu, yeye kaandika dola bilioni moja.
 
Kuna mawaili yatakayojiri 2015,either nikabidhi madaraka kwa CDM or damu imwagike!na sitokubali damu imwagike..................
 
Nchi hii bwana yaani kila kona ukipita watu wanafanya hii ishara ngoja nami nijaribu kumbe kuna raha yake kunyanyua vidole viwili
 
Hii alama inaninyima sana usingizi na sijui kwanini hata wanaonipa ahadi za kunisaidia huku ughaibuni wanaipenda hii alama,ngoja nifanye mazoezi ili wahisani wakiona nipate pa kuanzia kuomba misaada.
 
Hii alama inaninyima sana usingizi na sijui kwanini hata wanaonipa ahadi za kunisaidia huku ughaibuni wanaipenda hii alama,ngoja nifanye mazoezi ili wahisani wakiona nipate pa kuanzia kuomba misaada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom