Ipe maneno hii picha

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Sep 10, 2010
578
144
mwalimu.jpg hapa ndio enzi za mwalimu, je kwa hali iliyopo historia kama hii yaweza kujirudia?
 
hapa atakuwa alikuwa bado ni mwalimu pale Pugu!!maisha ya walimu hayo!!
 
Naikubali, mtoto wa mfalme uko vizuri, kweli age ya Mwl. aioneshi kuwa alikuwa bado ni mwalimu pale Pugu.:first:
 
View attachment 53256hapa ndio enzi za mwalimu, je kwa hali iliyopo historia kama hii yaweza kujirudia?


kiongozi asiyetaka kufa kwa mapresha na sukari kwa kukwepa kupanda magari na kupenda kutumia baiskeli kama njia ya mazozezi. Hivi lakin mbona mwalim hakuwahi kunenepa kama akina mkapa??????? au malima na kepteni komba? je ni mwili tu au ni stail ya maisha aliyokuwa nayo?
 
Tatizo ni hizi VX V8 hata afisa wa kawaida anataka awe nayo... mwl...kiboko... aliongoza kwa mifano anuwai...

Sure, siku hizi uongozi mtu yupo tayari kutoa roho aupate. Dhana ya mwalimu enzi hizo uongozi ni dhamana wala sio kitu cha kukimbilia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom