Ipe maneno hii picha

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
http://www.facebook.com/photo.php?f...60949.46868.100000390453806&type=1&ref=nfHuyu dodo anawaza nini

TvgoAAAAABJRU5ErkJggg==
 
Huku ni wapi tena?niko jf kweli au nimepotea!ni kama nilikuwa jukwaa la siasa!sasa sijui nimefikaje huku!disgusting
 
ILI TUENDELEE TWAHITAJI VITU VINNE:
  1. WATU
  2. ARDHI
  3. SIASA SAFI
  4. UONGOZI BORA
Sasa tujiulize; hadi hali kufikia kama hiyo, ni lipi lililo kosekana?
 
ILI TUENDELEE TWAHITAJI VITU VINNE:
  1. WATU
  2. ARDHI
  3. SIASA SAFI
  4. UONGOZI BORA
Sasa tujiulize; hadi hali kufikia kama hiyo, ni lipi lililo kosekana?

Tulicho nacho tanzania ni
1. WATU -tunao wengi mno waliosoma bila kuelimika
2. ARDHI- Tunato nzuri kuliko zote duniani lakini wasioelimika wamewakabidhi mafisadi nchi pamoja na raia
3. SIASA -Hatuna, wala hatujaamka kufahamu maana ya siasa. Kinyume chake ni kuwa tumeendekeza siasa za vitisho, ubabe ulaghai, dhuluma na kuuana kimafya mafya kwa kisingizio cha utulivu na amani huku tukipuuza utaalamu, sayansi na teknologia.
4. UONGOZI BORA - Hapa ndiyo patupu kabisaaaaa! maana ungekuwepo yasingetokea yaliyoinishwa hapo juu.

Balaa gani hii!
Mungu inusuru Tanzania, tunaiweka mikononi mwako ili wote watendao maovu uwamulike, wananchi wafahamu wayatendayo kwa siri kuhujumu watu milioni 45. Umulike pamoja na famnilia zao na laana ziwe juu yao pamoja na familia zao. Usiwape hata nafasi ya kukiri maana waliyoyatenda wameyatenda kwa makusudi huku wakiona jinsi wananchi wanavyotaabika huku wao wakijineemesha bila kipimo wala aibu. Watu wakiwalalamikia wanaswekwa rumande, wengine wanapigwa risasi wafe. Wengine wanalishwa sumu wafe, wengine wanagongwa wafe! Mungu usiwaache wawepo hadi 2015. Wahukumu ili na wengine wajifunze wafahamu kuwa maana ya uongozi ni kutenda haki.
 
dogo anajiuliza,ivi haya ndo maisha bora kwa kila mtz?ivi prezdaa yupo tz kweli?ivi nkimaliza phd yangu ntafanya nini?miaka10 ntagombea ubunge...
 
Dogo kama skosei kwao anaishi na bibi ake pale msoga, zile nyumba zipo barabarani,, analala chin na mkek ulochoka, kamka kenda vua samaki amepata dagaa3, anawaza atakula nini leo, da hata nikioga sina nguo wacha nipoumzike kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom