Ipe maneno hii picha (JK na familia ya jaji Lubuva)

Lubuva: ' Mmh, hivi kazi hii nitaimudu kweli? Nilitamani angeteua mtu mwingine, sijui nifanyeje mimi?'
 
Sio siri hizo suti anazovaa mkuu ni hatari!! Inaonekana kama tailor made, tena ya kupimwa kabisa na world class men's suit tailors (naongelea kina Giorgio Armani, Pierre Cardin, Gino Valentino, Bianco Brioni et. al.)

Yaani kuna tofauti kubwa na ya kuonekana kati ya suti ya mkuu na suti ya Lubuva na mwanae!!
Hakika jamaa anafaidi matunda ya nchi!
 
mke wa jaji anaonekana alikuwa chuma kwelikweli wakati wa ujana....jk mbona mkono wa kulia una mkunyanzi sana ana ugonjwa wa ngozi au??? dogo acha kunyoa para ni uhuni huo bana...
 
JK anafurahi maana Haka kazee akikapiga mkwara kanaweza kupata presure so ana amini hakata mchalenji!
 
Huyu mke wake anaroho nzuri sana alikuwa mwalimu Zanaki Sec alikuwa kama mama
Hongera Mama Lubuva Upendo wako na Unyenyekevu wako umezaa matunda Mungu ameiona familia yenu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom