Ipe Habari Picha hii

Aliyeleta thread hii kaomba tuipe habari picha hii, lakini sijaona hata mmoja aliyeipa "habari picha hii"! ..........Akuu mimi nimevua viatu nicheze twist vizuri, wewe unaleta ubitoz wako!!!
 
enzi hizo kila mtu na style yake..no marashi no manukato.....wakitoka hapo.....puya lake ni noumaaaaa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom