Ipad vs kindle

Fringe

Senior Member
Jul 5, 2011
178
90
wakuu habari
mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya tekinologia hizi mpya,naombeni mwenye ujuzi anijuze, hivi ni kipi bora kati ya amazon kindle na ipad

--je nikiwa na kindle ni kitu gani ntakosa?
--internet vipi ktk kindle ipo?
--pdf na word,zipo kindle?
na lolote la maana wakuu mtalo ona linafaa kujuzwa hasa juu ya kindle vs ipad

Nawasilisha
 
hivo ulivotaja vyote vipo na wote ipad na amazon kindle wana tablet za bei ndogo hadi kubwa. Tukipambanisha tutakesha

Kama wewe unataka mambo ya kusoma, internet, pdf word nafkiri better uchukue kindle

Kindle ina family mbili family ya fire na family ya reader. Hii family ya fire ndo tablet zenye vitu vyote movies, mambo ya hd ma aplication makubwa na storage pia kubwa

Family ya kindle e-reader ina tablet za kusomea ambazo storage ni gb 2 hadi 4 humu full kusoma na zina keyboard hizi tablet na bei zake ni kama laki 1 tu

unless unamaanisha ipad 3 vs kindle fire hd 8.9 inch
 
chief-mkwawa asante sana hebu nipe kuhusu sehemu na bei ya hizo kindle hapa bongo kama wajua mkuu. na hiyo e-reader ina wifi? please nipe somo pia la ipad3 vs kindle fire hd. na bei zake pia mkuu kwa bongomkwawa
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa asante sana hebu nipe kuhusu sehemu na bei ya hizo kindle hapa bongo kama wajua mkuu. na hiyo e-reader ina wifi? please nipe somo pia la ipad3 vs kindle fire hd. na bei zake pia mkuu kwa bongomkwawa

mkuu swali lako refu sana ntalijibu kiufupi sana bei za kindle ni kindle fire ya 8gb ni dola 159, fire hd 16gb ni dola 199 na ya 32gb na ya firehd kubwa ya 8.9 ni around dola 550

e reader ina wifi ndio dola 69

ipad 3 na fire google

bei ya ipad3 ni around dola 600
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom