iPAD Vs BLACKBERRY PLAYBOOK

J Rated

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
269
51
Wataalam wa haya mambo naomba mtujuze,which is better kati ya ipad na playbook.Hii playbook imekuwa launched na blackberry na wanajitangaza kwamba ni bora kuliko ipad.Mnasemaje wataalam.

ipad

Blackberry playbook
 
iPad hands down, tablet zinazoweza kushindana na iPad ni Samsung galaxy 10.1 and maybe Asus Eee Pad transformer.
 
Ninachowafagilia Steve Jobs & Apple wao ndio wamekuwa wakija na kitu kipya then wengine kazi yao ni ku-copy and paste. Wamekuja na iPhone wengine nao wakaiga na kuja ma matoy yao.
Apple wamekuja wameanzisha tablet- iPad wengine nao wakafuatia.
Lini akina Samsung na wengineo wataanza watakuja na kitu kipya kabisa kuliko kungojea kucopy na kupaste?
 
Steve Jobs hajaja na kitu kipya, anajua ku package, advertise na kuuza vizuri zaidi tu.

Apple is a fashion brand, not unlike Louis Vuitton and Gucci. Anyone with IT credo will know that you don't advance tech by buying into a closed ecosystem that doesn't even allow industry standards like USB.

You advance tech by embracing open source inspired OSes like Android, deployed on multi-platform industry standard hardware.
 
Kiranga its also my view kuwa Ipad sijui iphone tofauti kubwa waliyo nao na washindani wao ni marketting department ya na marektting strategy zao.

Technical specifications na mambo mengine ya kitaalam sioni uzuri wa vifaa vyao.
 
Why does Apple come up with something very new in the market and then others just follow the suit?
If it wasn't for Apple we wouldn't have touch n' slide-smart phones (iPhone) or tablets (iPad).
Kwa nini wengine waisubirie Apple waje na kitu then wao kazi ni kucopy and paste?
 
Mkuu fuatilia Sio apple walikuja na touch screen phone wa kwanza walikuwepo tayari. Kule korea kuna brand sema hazina majina kimataifa tu zilikuwa na touch na slide phone zamani. In fact hata apple wana coopy na kuapaste. Walichonacho ni brand yao inajulikana worwide sabbau ya maretting..

HP walikuwa na smart phone zao zinaitwa iPaq they were touch screeen na zilikuwa zinatumia window mobile nadhani bado zipo.

Iphone frst touch screeen phone haina maana kuwa ndo world first touch screen phone. Just google. Uzuri dunia ya sasa ni mauzo ndo yatambua mshindi ndo maana apple iko juu lakini tukiangalia specs na features na standards mhhhhhh
 
Mkuu fuatilia Sio apple walikuja na touch screen phone wa kwanza walikuwepo tayari. Kule korea kuna brand sema hazina majina kimataifa tu zilikuwa na touch na slide phone zamani. In fact hata apple wana coopy na kuapaste. Walichonacho ni brand yao inajulikana worwide sabbau ya maretting..

Iphone frst touch screeen phone haina maana kuwa ndo world first touch screen phone. Just google. Uzuri dunia ya sasa ni mauzo ndo yatambua mshindi ndo maana apple iko juu lakini tukiangalia specs na features na standards mhhhhhh

Kuipenda simu au tablet ya aina fulani ni personal choice kama vile wewe unavyoenda kununua gari ama nguo, ni chaguo lako kutokana na moyo wako unapenda. Kuna mtu hata ijekutoka Nokia 99999999 yeye humwambii chochote na iPhone. Ukiangalia sana smartphones/tablts nyingi features ni zilezile hazijaachana sana
 
Baada ya kusema hayo, pia ujue kwamba kuna technical standards na features fulani hazijali personal taste. Mimi siwezi kushangaa mtu akipenda Apple ingawa kwangu mimi Apple ni fashion accessory kama a Louis Vuitton bag more than anything else. Lakini mtu akiniambia Apple ni wa kwanza kuja na tablet au touch screen phone naona hafuatilii habari hizi, na kwake yeye kuwa wa kwanza ni kuwa wa kwanza katika publicity.

Sishangai, ndio hawa hawa watu wanaokwambia David Livingstone alikuwa mtu wa kwanza kuona Victoria Falls or some bs like that.

Eti Apple wa kwanza kuja na tablet/ touchscreen phone. You better double check your story.

Apple wenyewe wezi wa ideas tu na wamekubali kuwalipa Samsung katika kesi ya patent violation.

Sasa hawa pioneers wenu mbona wanawaibia Wa-Korea patented iintellectual property?

Apple's Suit With Samsung Heats Up Further, More Products Added to Infringement Case | iSource
 
bac na wao wameiga kutengeneza cm cuz samsung na nokia wameanza kutengeneza cm kabla yao!!na wao c wa 1 kutengeneza touchscreen phone o tablets!
 
I think IBM ndo walianza na tablets before Apple and about phones Apple was the first ones back in 1983 but it was (Landline) and in mobile it was LG prada.
 
Mkuu kuhusu hilo naona inatokana na mapenzi yako pamoja na matumizi yako binafsi,maana ukiangalia features zao ukianza hazijapishana sana na unaweza kudownload apps ambazo zitakidhi mahitaji yako.
Kama nikiambiwa nichague katika hizo mbili nitachukua Ipad
 
[h=2]BLACKBERRY PLAYBOOK itakusanya vumbi tuu madukani mpaka waje kutoa msaada huku kwetu, mie nasubiria.[/h]
 
Daah yaani hauniambii kitu kuhusu ipad 3g yaani hii kitu kidogo inaweza ikafananishwa na samsung sio uchafu mwingine huo wa blackbell
 
Back
Top Bottom