Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda dukani utarudi mkuku mwenyewe.nashukuru sana wataalam sasa nimeelewa naitafuta sasa.
Hao ndio wahitimu wetu wa leo (sio wasomi hata chembe ) nashangaa sana watu wanavyounder estimate the power of Google. to me Google is everything i want.Jamani, mbona mambo haya rahisi sana. Wote wanakupa majibu kwa ku google na baadaye ku copy na ku paste. Yaani watumia internet, halafu bado wataka kuuliza wengine wakati majibu yako kwenye fingertips. Tubadirike jamani.