Ipad ina vitu gani special?

Human

Member
Jun 30, 2012
9
3
Wadau nikiri kuwa niko nyuma kidogo kuhusu kuifahamu ipad.naomba anayetumia kifaa hiki anipe shule kidogo kuhusu mambo mbalimbali yanayopatikana kwenye kifaa hiki.
 
Ipad inafanya kazi kama Computer isipokuwa kuna facilities ambazo hazipo. Kuna Ipad za aina nyingi tofauti ikiwa ni ukubwa wa RAM na ukubwa wa sehemu ya kuhifandhia kumbukumbu. Pia zipo Ipad ambazo ni Pure Computer kila kitu kipo na kila kitu kinafanyika bila matatizo.
 
Wadau nikiri kuwa niko nyuma kidogo kuhusu kuifahamu ipad.naomba anayetumia kifaa hiki anipe shule kidogo kuhusu mambo mbalimbali yanayopatikana kwenye kifaa hiki.

ipad ni tablet computer ambayo ukubwa wake ni wa wastani, ni nyembamba, ipad hutengenezwa na kampuni ya apple, tablet zingine hutengenezwa nakampuni tofauti tofauti,
sifa yake kubwa ni portability, tofauti na laptop, ipad/tablet pc uwa ni nyepesi kubeba... ni touch screen,
kama uionavyo hapo chini

Featured60.jpg

75136v5.png

sifa zaidi za kifaa hiki zisome hapa >>>>>>>> Apple - The new iPad - It
 
Back
Top Bottom