iPad bungeni:

Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.

  • :nerd:

:embarassed2::eyebrows:

  • :hat:

  • :lol:
 
Kaka hao wabunge wameshindwa kutumia laptop itakuwa Ipad kila wakati watuliza keypad wapi au hizo Ipad zije na keypad kabsa na mouse,hebu muulize katibu wa bunge Dr Kashilili,kuna wakati aliwapa wabunge 20 laptop ili waweze kusoma miswaada ya bunge,walipewa mpaka CD ,zilirudi zimemwagiwa kahawa/chai na hata CD hazikurudi tena,huenda wabunge'' vijana ''wa CHADEMA lakini hao wa magamba,watu kama mbunge wa Maswa wamezoea kuongea wataona Ipad zitawachelewesha ,wamezoea kuongea ''kutoka mdomoni moja kwa moja''
kwa hio kumbe tunaongozwa na watu wa ajabu ajabu sana .....wanashangaza lakini kitendo cha mbunge kusimama na kusema eti internet zinaharibu watoto ni cha kusikitisha sana inawezekana hawana access ya internet kabisa inabidi wapelekewe kwenye viti vyao hata wale ambao hawataki au hawajui kilichomo ndani ya internet, in generally tablets zitarahisisha sana kazi za bunge hata kupiga kura na vitu kama hivyo.
 
Hawakawii kucheki porn kinyemela, na wakapotezea mijadala

ndo hapo unakuta mbona hawa wazee wanaweka mikoni mfukoni mujda wote?na akina mama nao macho mekunduuuuuu kumbe wako bize kujijingea uwezo kutoka kwa akina cherokeee D'ass na mike in brazil...
 
Nadhani siyo kipaumbele kwa sasa ukizingatia kuna majukumu mengine muhimu&mazito kwa serikali yetu. Acha waendelee kuzinzia na vitambi vyao!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom