iPad bungeni:

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.
 
kwa ajili ya kazi gani?
funguka ueleweke basi
 
Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.

umewaandikia wabunge pekee... You are wrong.. Wengi wao si members... Wanapitia tu threads na kutoka..
 
Hivi ndugu yangu wewe unavyoijua ipad unafikiri na hao wazee wa posho wanaijua kivile,,,,,,? Wengine waliiona mara yakwanza kwa MBOWE.kama ngonyani si itakubidi utumie karne hata kuiwasha.
 
Maji marefu, rage wataweza kutumia?
wataweza,hii itawasaidia sana inawezekana wabunge wengi hawajui hata matumizi ya internet ..mbunge mzima na akili zake hawezi kusimama kusema eti mtandao wa jamii ufungwe..huu ni ulimbukeni mkubwa sana inaonyesha jinsi walivyo mbumbumbu...inabidi tuwasaidie wawe updated..wafiche upumbavu wao(sio wote)
 
Tatizo ya vitu kama hivyo I mean ipad na galaxy vinahijati angalau uwe na uelewa wa Lugha ya kingereza japo kidogo ili uweze kujiachia navyo, na si kukaririshwa kwamba ukitaka kitu fulani bofia hapa, ukiacha hao wazee ambao baadhi ni wasomi wazuri tu ila ukale wao unawazuia kutumia teknolojia mpya kuna wale ambao zaidi ya Elimu ya Msingi hawakuwahi kuitafuta Elimu ya Upili, sasa vitu kama hivyo kutumia itakua ngumu
 
ha ha ha ina maana wabunge wetu sio wasomi?
 
Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.

Hawakawii kucheki porn kinyemela, na wakapotezea mijadala
 
wawekewe mashine zinazo-vibrate mbunge anaposinzia ili kuwaamsha magolilla!
 
wataishia ku-update facebook pages zao.. Lakini on a brighter side, watapata kitu cha kuwakeep busy wasilale...kama kucheza games (karata) kwenye hizo ipad...lol
 
Kuna haja gani ya kununua ipad za milioni kadhaa akati kuna mini laptops zinauzwa kwa bei nafuu na bado hawazitumii.....naona mtoa hoja anasupport matumizi mabaya ya pesa zetu wananchi.....
 
yap ni kweli sio lazima wanunue i pad ila wanaweza kununua tablet au hata netbook..sema hawa mafisadi lazima watake kula hapo tena.
 
Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.

Kwa akili za wabunge wengine wataomba waende kuwagawia wapiga kura utasikia Muheshimiwa spika kule jimboni kwangu wapiga kura wananiomba i Pad
 
Wakuu kutokana na technology inavyopiga hatua inabidi kila kiti cha mbunge kiwekwe i pad ili kurahisia kazi za bungeni.
mimi sio msemaji wa bunge ni ushauri tu unaweza kufuatwa au usifuatwe.kama hujui ninachomaanisha nomba usitokwe na mapovu.
Kaka hao wabunge wameshindwa kutumia laptop itakuwa Ipad kila wakati watuliza keypad wapi au hizo Ipad zije na keypad kabsa na mouse,hebu muulize katibu wa bunge Dr Kashilili,kuna wakati aliwapa wabunge 20 laptop ili waweze kusoma miswaada ya bunge,walipewa mpaka CD ,zilirudi zimemwagiwa kahawa/chai na hata CD hazikurudi tena,huenda wabunge'' vijana ''wa CHADEMA lakini hao wa magamba,watu kama mbunge wa Maswa wamezoea kuongea wataona Ipad zitawachelewesha ,wamezoea kuongea ''kutoka mdomoni moja kwa moja''
 
Back
Top Bottom