Ninayo ipad 2 (3gs) 32GB mpya ndani ya box with case. I think wewe uweke contact yako, au visit post nyingine hapa ya anayetafuta ipad 3, nimeweka contactweka contact yako kama uko serious
Ninayo ipad 2 (3gs) 32GB mpya ndani ya box with case. I think wewe uweke contact yako, au visit post nyingine hapa ya anayetafuta ipad 3, nimeweka contact
mkuu me nahitaji kufahamu bei ya hiyo ki2,nicheck humu 2talk 0653560524 bt npo mbeya
Mimi ninayo mpya, kitu ndani ya box iPad 2 64GB with Wi-Fi + 3G model sema tufanye biashara!.Nahitaji kwa haraka sana ipad 2 64GB Used. Bei isiwe ya dukani sana.Tafadhali weka contact zako nikupigie nipo Dar.
Rate ya dollar yako ni sh ngapi ya TZ,kwanini usiuze kwa shs yaani sema nauza ,hivi sasa naona Us dollar 1 ni sawa na Tsh 1700 ukizidisha na 1100 ina maana unauza hiyo Ipad 1,870,000 du kazi ipoBei yake ni dola 1000. Ina case to cover up which cost about 100 dollars. So for the price is good. Mpigie dada yangu ndio nimempa auze no yake ni 0754310086. Mimi nipo safarini nje ya nchi kwa Sasa hadi end of the month