asante usiye mlevi. Akiingia kwenye juisi au soda inakuaje?, sio lazima iwe bia
Inzi haingii kwenye club soda.
asante usiye mlevi. Akiingia kwenye juisi au soda inakuaje?, sio lazima iwe bia
Wewe nae ni mshamba kweli kweli, hiyo utayomwaga beer yako ni bar? au ka "store" (grocery) kakuuza "beer"? hivi bar unaweza kumwaga "beer"?
Ingawa nimeachana na hayo mambo lakini "ujuzi hauzeeki".
Nauliza, kiustaarabu inzi akiingia kwenye glass ya bia (au whisky) yako ukiwa bar, je ukiimwaga unatakiwa uilipe, au ni bar italipa kwa kutoweka maeneo yao safi mpaka kukawa na mainzi?