Inzi kwenye Bia

Hapo inzi lazima ajifunze kujitegemea,cha kufanya nikumtoa kwenye glass nakumnyonya kisha unaedelea na kinywaji
 
Unamfyonza kuhakikisha hata tone dogo halipotei.
Umwage bia kisa nzi?
 
Nauliza, kiustaarabu inzi akiingia kwenye glass ya bia (au whisky) yako ukiwa bar, je ukiimwaga unatakiwa uilipe, au ni bar italipa kwa kutoweka maeneo yao safi mpaka kukawa na mainzi?

Wewe nae ni mshamba kweli kweli, hiyo utayomwaga beer yako ni bar? au ka "store" (grocery) kakuuza "beer"? hivi bar unaweza kumwaga "beer"?

Ingawa nimeachana na hayo mambo lakini "ujuzi hauzeeki".
 
Wewe nae ni mshamba kweli kweli, hiyo utayomwaga beer yako ni bar? au ka "store" (grocery) kakuuza "beer"? hivi bar unaweza kumwaga "beer"?

Ingawa nimeachana na hayo mambo lakini "ujuzi hauzeeki".

Faiza Foxy, twende tukafanye..............................

Tahajudi
 
nimeuliza tu ili nijue kama nina rights kama mteja. Hata mimi kwenye vikali simwagi, ni mapokeo tu, sina sababu.
Ushrubaro siujui im old skool!

mkuu hapa bongo naona hiyo tabia ya kulipiwa kinywaji haipo na sijawahi kuona wala kusikia kesi kama hizo na watumiaji wa pombe wakishalewa huwa wapo peace sana na hawana mda wa kufuatilia mambo madogo kama hayo.mimi siwezi kumwaga pombe sababu ya wadudu warukao.mia
 
Ilikuwa kila alipokatiza nzi mezani kwetu, mashavu yanajaa mate! Mwishowe ilibidi tuondoke kabisa maeneo. Mshikaji alionesha ujasiri wa aina yake, kumbuka nzi mwenyewe ni yule "bwana afya" a.k.a "nzi wa kizungu"

Ha haaa haaa haa umenikumbusha mbali hilo jina la bwana afya.
 
jamaa kiboko!
Mi kwenye bia namwaga lakini kama nakamata whisky au brandy naomba kisoda namtoa kisha naendelea nayo.
Lakini ilibidi watulipe. Imagine unapewa glass kubwa inayoingia bia nzima halafu umepiga funda moja tu nzi wa ccm huyo!

Asee wewe, chonde na mbavu za wenzio hatuna spea ati.
 
Back
Top Bottom